A reason why one visa for tourists is not an option for Tanzania

Key words from the above article:teeth::

Kenya saw its tourism earnings drop 7.4 per cent to Ksh96.24 billion ($1.11 billion) in the year ending June 2013, from Ksh103.91 billion ($1.12 billion) the previous year.

Rwanda had 664,729 visitors in 2012 and collected at least $142.5 million in tourism revenues in the first quarter of 2013.

Tourist arrivals in Tanzania increased from 867,994 in 2011, to 1,077, 058 in 2012, a 24 per cent rise.
Tanzania earned over $50 million in single entry visa fees alone - good income in a country where the official annual tourism earnings stand at $1.82 billion.

Uganda's tourism earnings are estimated to have hit $1 billion in 2012.
 
I read u, another thing is that, the reason for this community is sharing nature of gift that either country has to its neighbor, sasa kama they have nothing we can share, i wonder why should we rush for it?
 
Whaaaat!!!!

You cannot sit in the same table with a person who goes around your back telling people 'you see that car he is driving?, its mine' while it is not, and expect me to sit with you and agree on issues!!

Kenyans are a bunch of crooks and they know that!! Hawaujui ustaarabu, you can not reason with a person who knows not order!!

Bullshit!!
kichwa chako timamu kweli.you are such pathetic may be unschooled dude.upto when do you think your propaganda little schooled kinda thinking will sell.Mt kilimanjaro is in tz.period.what you need kwenda shule upate drilled in your small brains is the ecosystem due to closeness to kenya/tz border straddles the two countries.we have springs and other benefits from the mountain on kenyan side e.g mzima springs, and beautiful view which utaiona as far ukiwa barabara ya msa/nairobi.that what pple refer to.ushawai ona mt climbing from kenyan side.you sick man plus all other little minds who peddle propaganda abt this stuff here.
 
Wanataka mlima wetu kwa dezo wakati huohuo wanatutukana, mrembo Tshala Muana aliimba "wapenda dezo dezo...".:teeth:
 
Whaaaat!!!!

You cannot sit in the same table with a person who goes around your back telling people 'you see that car he is driving?, its mine' while it is not, and expect me to sit with you and agree on issues!!

Kenyans are a bunch of crooks and they know that!! Hawaujui ustaarabu, you can not reason with a person who knows not order!!

Bullshit!!

I agree with you for %100, just a matter of time they will be questioned about Kilimanjaro as well as Serengeti being in Kenya, when this moment comes their liar will be our prosperity.
 
Whaaaat!!!!

You cannot sit in the same table with a person who goes around your back telling people 'you see that car he is driving?, its mine' while it is not, and expect me to sit with you and agree on issues!!

Kenyans are a bunch of crooks and they know that!! Hawaujui ustaarabu, you can not reason with a person who knows not order!!

Bullshit!!

I agree with you for 100%, just a matter of time they will be questioned about Kilimanjaro as well as Serengeti being in Kenya, when this moment comes their liar will be our prosperity.
 
Mkuu unawajibu vizuri,keep it up. Kenya huwa wanadhani watanzania siku zote tumelala,now we are awake!. Mtalii gani atapanga kuja kutembelea nchi zote tano za EAC?Abrahamovic mbona kaja mojakwa moja mpaka tz bila kupitia kenya wala uganda!.Wakenya wameona kwa sasa ki utalii tunawazidi ndio wanakuja na mbinu za kijanjajanja Wacha1
 
Last edited by a moderator:
The government has a duty to ensure that their country stays ahead of others, or on an equal playing field. Not only is it in the interest of its citizens, it is also in the interest of the country and it's economy. Protecting citizens from foreign competition and loss not only helps the individual citizens, but also the country, as a whole. Its amazing to see Tanzania finally showing a bit of backbone concerning this matter, its interest and that of its citizen should be paramount to anything else. Its also good to know that they have out rightly refused the single tourism Visa other than doing what they do best, dancing around the issue and wasting valuable time like they previously did on other matters concerning the EAC ...the coalition of the willing should keep marching and shouldn't be fazed by side shows and other stupid distractions which we are currently witnessing, and am sure we will benefit immensely from the strategies put in place within a very short period of time.
 
Mass tourism is the only way the wanachi will benefit from tourism. Each tourist arriving needs a place to sleep, food to eat, and transportation. The more tourists no matter how cheap they are the more Tanzanians are employed. I would be more concerned about creating jobs and less about government tax collections, we have the mining companies for that.

i concur with your argument bro, mass tourism will definitely benefit the local community, from the argument above they say Tanzania protects the environment but they should enact strict laws and policies regarding mass tourism.
quality tourists will only enrich those who have larger facilities and have already enjoyed the national cake
 
Smatta

Chacha njomba bado unaendelea na ile kazi yako ya ukimada? Lini utaondoka Tanzania na kurudi kwenu? There is no more free lunch in bongo. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Chacha njomba bado unaendelea na ile kazi yako ya ukimada? Lini utaondoka Tanzania na kurudi kwenu? There is no more free lunch in bongo. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Usitutoe kwenye mada na comments zako za kishenzi, kama huna la kusema nyamaza, sio lazima uchangie. Nani amekwambia niko Tanzania? na nikiwa Tanzania inakuhusu nini wewe?
 
Willing members of the EAC are going for the single visa thing, Tanzania ain't a willing member and won't be going for it. Nobody is forcing Tanzania to go for it so what's all the noise for?
 
Willing members of the EAC are going for the single visa thing, Tanzania ain't a willing member and won't be going for it. Nobody is forcing Tanzania to go for it so what's all the noise for?
No noise we are anxiously waiting for that petty project to start since so far has not started yet Mseveni said there are logistical hindrances on printing the visa and distribution that are to be addressed first! We can't wait to see how will u 3 fare in this one visa thing but Tanzania bandwagon is unstoppable by the end of 2014 tourism revenues will be more than the three COW members combined! A fact that gives Kenya sleepless nights
 
Joint visa would seem fair if we Hv equal things to offer. How many tourists does Rwanda and Uganda receives annually. What are their future prospects. Tz has how many of the world wonders and wht is the implication on tourism currently and future prospects
 
If that's the case then why are you discussing it in the first place? It doesn't involve Tanzania yet Tanzanians are the ones talking about it most.....................quite telling about who really is having sleepless nights.:biggrin1:
 
Joint visa would seem fair if we Hv equal things to offer. How many tourists does Rwanda and Uganda receives annually. What are their future prospects. Tz has how many of the world wonders and wht is the implication on tourism currently and future prospects

Hakuna revenue sharing zaidi ya visa fee sijui watu wanaogopa nini?hii ingekuwa na advantage kwa nchi zote maana watalii wote wanaokuja EA wanakuwa na access ya market zote at once bila usumbufu..you gain millions of tourist instantly sijui kwa nini watu hawaoni hili?
 
Koba,kwa mim naona suala hili Tz tuko sahihi maana kwa sasa tumeweza kuvutia watalii wengi.Na mim hili suala visa limekuja sasa lakn kwa wakti ule wenzetu walivyokuwa wanakuwa juu yetu kwenye utalii mbona halikuwepo suala hilo.Sisi hatuwezi kulazimishwa kuingia huko maana bodi yetu ya utalii tayari ilikuwa na strategy ya miaka ijayo kwenye utalii na hili suala limeibuka tu na halikuwa kwenye mipango yao.Maana inaweza kuwa wenzetu ilikuwepo kwenye mipango yao, kudandia treni kwa mbele si vizuri acha wenzetu mfanye kwanza.Watu wanaibuka kutuambia sisi waoga mbona jumuiya ya 1967 tuliingia na tukawa tunashare vitu vingi haswa kwenye mambo ya uchumi na Tz haikuwa na wataalamu sana sembuse hii tuogope wakti sasa tuna wataalamu wa kutosha kwenye kila sekta.Tz tuna mipango yetu nyie wenye mipango yenu tekelezeni tutajiunga nanyi pindi tutakapoweka kwenye mipango yetu ya utekelezaji haswa kwenye bodi ya utalii.
 
Usitutoe kwenye mada na comments zako za kishenzi, kama huna la kusema nyamaza, sio lazima uchangie. Nani amekwambia niko Tanzania? na nikiwa Tanzania inakuhusu nini wewe?

Nani anayekutoa kwenye mada, uwepo wako Tanzania unanihusu kwa sababu mnafikiri mnaweza kuja kuchuma mahali ambako hamkulima. Bakini huko huko kwenu Kenya muendelee kuchinjana kama manyani. Hamna ustaarabu mnachoweza ni dhuluma tu, VISA ni reciprocal na wageni wanaokuja kutembea hawalalamiki ni nyie wavivu wa kufikiri mnategemea investment za jirani ili mfaidi tumeshituka. Huyo Che-nkapa aliyefikiri shirikisho ni la viongozi alipotea tu na sasa hayupo. Tutawaondoa wote bongo ni swala la muda tu.

Hakuna revenue sharing zaidi ya visa fee sijui watu wanaogopa nini? hii ingekuwa na advantage kwa nchi zote maana watalii wote wanaokuja EA wanakuwa na access ya market zote at once bila usumbufu..you gain millions of tourist instantly sijui kwa nini watu hawaoni hili?

Wacha kamba wewe, lini umekuwa mpigania haki ya wamarekani na european tourists? Mbona hawalalamiki kuhusu kulipa VISA hata mara kumi? Mnaleta agenda za kipumbavu na kupoteza wakati sisi Tanzania tumesema No! Your problem you do not take no for an answer. Ni lini Rwanda imekuwa centre of tourist attraction .... ... ooops baada ya genocide ..... ....... .. ...Hata kama mtawahonga viongozi wa Tanzania mkae mkifahamu hatutakubali upuuzi wenu ambao hauna mwelekeo wa kutatua maslahi ya walipa kodi wa Tanzania.
 
i have always saying we tanzanian we have nothing to gain from kenya! just more bandits and greedy people, bora hata tungeshea single visa issue with a country like china kwani wanatusaidia vingi na wako juu hawa jirani zetu wana nini cha kutupa, its wastage of time!
...we have been benefiting. don't get blinded by sideshows!

...single visa with China. ndugu, do you know what you are talking about?

...focus ndugu, focus!
 
Bantugbro...labda kama tunaweza fahamu, mapato ya visa yalikuwa/yatakuwa kiasi gani kwenye haya.

...halafu tujiulize, je, mapato ya visa ni deal zaidi ya yale ya huduma za hoteli, mbuga, n.k?

...je, single tourist visa, haitaongeza zaidi watalii Tanzania? well, the logic here is simple. kama mapato ya visa ni asilimia ndogo sana [i fear this to be true] ya mapato toka kwenye utalii, then, tunatakiwa ku focus zaidi kule kunako leta mapato zaidi. na kwa maana hiyo tupate watalii wengi zaidi. single tourist visa itakuwa na faida kwetu kuliko tunavyo hisi sasa. point here is, hawa wamekuja Tanzania, regardless, na ina maana wanafuata kitu.

...anayefikiria tofauti, naomba atoe hoja!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom