A reason why one visa for tourists is not an option for Tanzania

Wadau, saikolojia ya tamko hili imekaaje?
Kazi tunayo nakwambia.
Ngoja nisiseme kitu leo nisije nikafungiwa!
frustrations za ukweli wa mambo zinamsumbua huyo jamaa! don't mind him at the end of the day anaweza kujikuta hapati hata penny if we r serious with our resources!
 
frustrations za ukweli wa mambo zinamsumbua huyo jamaa! don't mind him at the end of the day anaweza kujikuta hapati hata penny if we r serious with our resources!

Thank you Geza Ulole,

Kwa kuongezea nimetoka kuwakandamiza hawa wakikuyu katika mkutano hapa nilipo hadi wamenichoka. Niliwauliza mnajua athari za Greece kujiunga EU katika sekta ya utalii. Pato la Greece lilikuwa likishuka kila mwaka by asilimia zaidi 5 katika sekta ya utalii. Leo Greece inaishia kuwa jamvi la ulaya wakati pato lote linaenda katika nchi kama Italia, Uholanzi, Ufaransa na Ujerumani ambapo ndio first tourist destination to many international travellers. Greece wanaishia kuambulia mabaki ya chungwa.

Narudia tena EAC should be created on the basis of mutual interest na sio vyengine otherwise waende la lishirikisho lao hatulitaki ni lizigo na tushaumwa nalo mwaka 1977 hatutaki tena kulirudia wakafie nalo wenyewe huko!!!!
 
we need poeple like u here...! It is high time for all Tanzanian economists to come out open and tell our politicians the dangers they r about to expose our country if they will give in to all their selfish demands! Our strength is our tourism that is superior to anyone here in the block and we should strive even harder to make the industry more stronger by creating an airline to even tap a quarter of that flight ticket money for tourists coming to TZ otherwise this regional block is bound to collapse any time soon! Just imagine we have allowed them to come free (no visa fee) but they now want even their guest to enter free that's crayz!
 
Merci bro,badala ya kujiuliza mapungufu yetu,tunakosea wapi tunakimbilia siasa za hayati mwalimu. Binadamu ili aendelee lazima akubali ushindani.Ajabu sisi tumekuwa mabingwa wa kukimbia ushindani. kwa mfano,Huawei ni kampuni ya kichina nchi iliyokuwa mjamaa mwenzetu lakini makao yao yapo Nairobi.Hatupendi ushindani,tunataka usawa kwenye kugawana na kusahau kuweka juhudi sawa.Tutaendelea kupokea simu za mashemeji zetu muda wa kazini huku foleni zikifika mpaka barabarani mpaka lini?
sasa kampuni ya Huawei kuwa na hq Nairobi inakuzuia vp wewe kuwa high tech? au unafikiria Dar ingekuwa high tech (if at all Nairobi is) kwa kuwa na ofisi tu...!?
 
sasa kampuni ya Huawei kuwa na hq Nairobi inakuzuia vp wewe kuwa high tech? au unafikiria Dar ingekuwa high tech (if at all Nairobi is) kwa kuwa na ofisi tu...!?

The problem with Kenyans is the fact they think they are very intelligent and everybody is not (kama unaukumbuka ule msemo maarufu mjini wa maafande wanasema ukijifanya rifara basi mie fara zaidi). Who will ever think UK will fall katika medani za kiuchumi hadi nchi kama Brazil zikimpita? Who will ever think China will be they are now. Now watch how Tanzania rolls my Kenyan friends.

Brother Geza mie niko pamoja ila nilialikwa katika huu mkutano sasa kuna jamaa akawa anazungumzia faida unitary visa akitolea mfano EU na faida zake. Namie ndio nikamtolea uvivu nikampa mfano wa Greece na hasara za kuwa na Unitary Visa, ikiwemo loss of revenue, immigration pressure, capital flights nakadhalika. Na jamaa wengine wakanisupport kiasi kufanya wazo la unitary visa needs revisiting and rethinking. Kenyans should know now you are facing different Tanzanians hamumburuzi mtu hapa.

Nilikuwapo!!!!
 
Unaweza kuzeielezea zaidi hizo hasara kwa faida ya wana jamvi?
 
Merci bro,badala ya kujiuliza mapungufu yetu,tunakosea wapi tunakimbilia siasa za hayati mwalimu. Binadamu ili aendelee lazima akubali ushindani.Ajabu sisi tumekuwa mabingwa wa kukimbia ushindani. kwa mfano,Huawei ni kampuni ya kichina nchi iliyokuwa mjamaa mwenzetu lakini makao yao yapo Nairobi.Hatupendi ushindani,tunataka usawa kwenye kugawana na kusahau kuweka juhudi sawa.Tutaendelea kupokea simu za mashemeji zetu muda wa kazini huku foleni zikifika mpaka barabarani mpaka lini?

Lonestriker,

..Waswahili wana methali inasema "Mtegemea cha nduguye hufa masikini."

..wa-Tanzania sasa hivi wanadanganywa kwamba hawawezi kufanikiwa ktk jambo lolote lile bila kuungana na wa-Kenya.

..Tanzania tuna vivutio vya kitalii vya kila aina lakini bado wengine mnakubali kuamini kwamba hatuwezi kuvutia watalii kwa juhudi zetu wenyewe.

..kwangu mimi kukubaliana na mpango wa "one visa" ni sawa na kuogopa ushindani.

..mapendekezo yangu ni kwamba twende kwenye ushindani wa kweli ambapo kila nchi itatangaza vivutio vyake, na kujali maslahi yake yenyewe.

..wa-Tanzania tunapaswa kufanya kazi kwa juhudi zaidi, na kwa uadilifu zaidi, ili tuweze kujipatia maendeleo, na kuondokana na usumbufu wa kuimbiwa kila siku kwamba we can not develop, or manage our affairs unless we let Kenyans come in.
 
Kweli nimepitwa mweee! Bila hii thread hata sikujua kua kuna talk of one viza.... Dah! Thanks Ulole.
 
so u mean coffee, gold and tea are hydrocarbons also since they have carbon as a backbone? :A S 13: Jesus n this must be coming from u !? i advice u not to go there cause u r so wrong! Otherwise i will ask for the name of the school u attended...As it seems EA produces very incompetent buddies!

My friend cool down that head and try to understand my point or otherwise am I talking to a fifth grade student? you are exposing your mental exhaustion once again, the defination of Hydrocarbon is http://www.britannica.com/EBchecked/topic/278321/hydrocarbon. As for the coffee gold and tea, where does that come from? how can tea or coffee become a hydrocarbon? You are asking of the school I went to? Then did your school ever teach you about hydrocarbons.
 
The problem with Kenyans is the fact they think they are very intelligent and everybody is not (kama unaukumbuka ule msemo maarufu mjini wa maafande wanasema ukijifanya rifara basi mie fara zaidi). Who will ever think UK will fall katika medani za kiuchumi hadi nchi kama Brazil zikimpita? Who will ever think China will be they are now. Now watch how Tanzania rolls my Kenyan friends.

Brother Geza mie niko pamoja ila nilialikwa katika huu mkutano sasa kuna jamaa akawa anazungumzia faida unitary visa akitolea mfano EU na faida zake. Namie ndio nikamtolea uvivu nikampa mfano wa Greece na hasara za kuwa na Unitary Visa, ikiwemo loss of revenue, immigration pressure, capital flights nakadhalika. Na jamaa wengine wakanisupport kiasi kufanya wazo la unitary visa needs revisiting and rethinking. Kenyans should know now you are facing different Tanzanians hamumburuzi mtu hapa.

Nilikuwapo!!!!

Shida kubwa ambayo watanzania muko nayo ni domo domo nyingi na uzembe mwingi!!! Kwa nini nasema hivi?!!! Maana hamutaki kufanya kazi.!! Hamutaki kuchukua mikopo kutoka kwenye banki muanze biashara au kazi, munatarajia watalii kutoka ulaya na nchi zingine kutoka kanda za Afrika mashariki waje muwatoleshe vikodi vya kijinga zisizo na namna. Vikodi vyenyewe zinaenda kupumbaza jamii dogo za wanaojiweza, wakati wengine ni walalahoi na hawafaidiki kutokana ni hizo vijikodi.

Kesi ya Ugiriki kuzorota kiuchumi si jambo la "capital flights" na " imigration pressure" maana hujafafanua hizi tuhuma na ni uwongo mtupu! Na mara nyingi nitaendelea kusema ugiriki waliaribu uchumui wao wenyewe kwa kuwa na "white elephants" nyingi katika ratiba zao wakiwaiga nchi za EU bila kufikiria bajeti yao iko vipi. Tena wacha kuonyesha dharau kwa wakenya ambao wako na tajiriba ya hali ya juu, iwe ni ya kiufundi, elimu, au teknologia.

ukichukua mfano wa UK kupitwa na brazil, Tazama idadi ya maskini nchini brazil ukilinganisha na UK!! That economic growth is not even feasible kwa wananchi wengi wa brazil. Ili Tanzania iweze kufikia malengo yake ya kuipita kenya, ni lazima kazi ifanywe na sio kupiga domo na kuota kuwa siku moja eti kenya watch out tuta roll. Kenya haiko level moja na Tanzania iwe ni masuala ya kiufundi, elimu hata technologia.

lock1.gif
kawaida, usifiche Kidonda maana kitageuka saratani
lock1.gif
 
My friend cool down that head and try to understand my point or otherwise am I talking to a fifth grade student? you are exposing your mental exhaustion once again, the defination of Hydrocarbon is http://www.britannica.com/EBchecked/topic/278321/hydrocarbon. As for the coffee gold and tea, where does that come from? how can tea or coffee become a hydrocarbon? You are asking of the school I went to? Then did your school ever teach you about hydrocarbons.

This is what u said

quote_icon.png
By Mzalendo452
When I say hydrocarbons, I mean anything that has carbon as a backbone in its composition. Or I would have said oil/petroleum. I also did not say that Tanzania would not grow at ten p.c at the right environment, every country has its own agenda when it comes to the economy. the issue here is that the capacity to make it grow at such a pace is dependant on several factors. on the tourism front, however, it will be a setback to set double visas.

I don't know who to laugh at another, cause coffee and tea have carbon as backbone in their composition but they r not hydrocarbons according to what i know n according to what science knows! I didn't need to go to encyclopedia to look for the meaning of Hydrocarbon cause the name explains itself! FYI at the moment Tanzania exports no hydrocarbon get it straight...! pls don't waste ur energy it makes sense to stick to the topic n get the gist of the debate over here!
 
My point of carbon backbone was in relation to hydrocarbon and not tea cofee or any bulshit. This is the type of people who we are debating with here, you lack the intellectual capabiltiy and you seem exhausted to grasp the explanation I am trying to give
 
But hydrocarbons have carbon and Hydrogen as backbone! :wink2: And Tanzania does not export hydrocarbons at the moment but in the near future, i hope u get it now...
 
Mzalendo452;
Again ndugu Kenyan,

You are not talking with fool Greece is very good example of the so called integration idea. Greece ilikuwa inapata revenues (annual revenues) of 11.9% (as % of GDP) from 1960 and before. However, in 1967-1974 these figures went down because of the Greece abolition of democracy and tatizo la cyprus. From 1974 onwards revenues were expanding to the level of 31.9% of the GDP and continued to climb until 1997. Revenues following greece joined up the EU are now on average 19% of the GDP. So such a declined one would asked what happened to Greece. Jibu lake moja tu EU. EU imechangia kuongeza watalii wa ndani but watalii wa nje wamepungua. Vile vile watalii wanaokwenda Greece wengi wanakuwa wameshukua nchi za Ujerumani, Uholanzi na Uingereza ambako kuna many international airports na kutumia schengen visa kwenda Greece. Hivyo kulikosesha pato Ugiriki.

Vile vile immigration pressure from foreign companies has resulted into a declined opportunities in Greece. Foreign companies hizi nyingi zikitokea sehemu za Spain, Italy, Britain zilikuwa zinaenda na watu na kusababisha wananchi wa ugiriki kuwa hawapati kazi. Na hili limejidhihirisha katika employment contribution in the tourism industry ambapo before Greece joined the EU tourism was employing almost 70% but post EU latest figures unaona employment offers just a handful of 14% of the population. Hio ndio faida the utandawazi.

Now tukitazama mfano wa Greece hauna tofauti na Tanzania na ndio maana panel niliyokuwa nayo ilikubaliana na mie kuwa the idea of unitary visa haina faida kwa nchi za afrika mashariki hasa zinazokuwa kiuchumi. Na kwasababu hiyo Tanzania haifadiki kwa lolote na hilo.

Sisi watanzania hatupigi domo hasa kizazi cha kuanzia 1970-1960 ambao wamezaliwa baada ya uhuru. Just watch how we roll mtabakia na arrogance yenu na kuishia kuwa kama Waingereza arrogance tu inawasumbua Brazil wanachanja mbuga, wachina wanachanja mbuga. Wao wanabakia euphoria eti wao ni bora hahahaha kalaghabao my kenyans friends.
 
Last edited by a moderator:
watanzania mkikubali na kusaini hii kitu mtakuwa na tofauti gani na chifu mangungo wa msovero? no difference at all.

The move to have the single EAC visa followed an appeal by tourism boards of partner states requesting for a common visa to accelerate promotion of the region as a single tourist destination.Under the proposal, the visa would be issued by any partner state’s embassy abroad.
It is expected that the single visa will save potential tourists time and the anguish of having to hop from one embassy to another to apply for different visas to travel across the East African region.
Analysts say that although the EAC leaders have always expressed their enthusiasm to have the joint travel permit in place to facilitate free movement of visitors, very little has been done on the ground.
“Despite the high expectations that the East African tourists’ single visa would revolutionise the tourism sector in the region, the process is taking too long,” says Tanzania Association of Tour Operator executive officer, Sirili Akko.
Kenya’s Minister for Tourism, Najib Balala says fear of the unknown and unfounded suspicions harboured by some partner states, was holding back efforts to take the Community to the next level of integration.
“A single tourist visa will bring diversity which will in turn make East Africa one of the top tourist destinations not only on the African continent but in the entire world,” Mr Balala said.
 
Just watch how we roll mtabakia na arrogance yenu na kuishia kuwa kama Waingereza arrogance tu inawasumbua Brazil wanachanja mbuga, wachina wanachanja mbuga.

Wacha niseme kwa kifupi, Na ninatizama muko na shida ya kufanya udadisi kuhusu Mwanguko wa uchumi wa ugiriki. Unajaribu kufunika ukweli kwa kuleta makala bila msingi. Kama Britain ndio sababu kubwa ya Ugiriki kuanguka kiuchumi basi hata nchi zingine kama ireland ambao wana deni sawia na ya ugiriki wangekuwa wamezorota kiwango cha kutoamka. Tatizo ulimwengu mzima ni waingereza sio?

Umetaja kuingia kwa wingi kwa waingereza kutoka EU huko ugiriki ikiwa sababu ilifanya wagiriki wasipate kazi miaka ya 70 na hata 90. These reasons your are giving are cooked na nimejaribu kufanya upelelezi nikashindwa kupata jawabu. kwanini uispania wanadumisha uchumi wao mpaka sasa bila tatizo, ufaransa, ugerumani pia? Marekani ambayo ndio demokrasia kubwa ulimwenguni ina immigrants wangapi licha ya uchumi wao kuyoyoma kwa kasi kama ya Ugiriki?

Nashindwa na this lame type of excuse unajaribu kuweka hapa. Tangu kuvunjika kwa EAC 77, mumekuwa hamutembelewi na wageni kutoka popote tuseme kama wawekezaji, na kimsingi hamujapiga hatua yeyote kiuchumi bali na kudanganya na makala za uwongo magazeteni kuwa uchumi wenu unakuwa kwa kasi. Ukweli ni kwamba katika SADC munavuta mkia tanzania, zimbabwe na malawi rounds up the bottom three. The greek issue is a single issue out of how many members of the EU?

Tatizo kubwa inawasumbua ni kwamba you are not open minded na ndio maana munalia ooh arrogance tu kenya!!! Na kando na zile mipango mumeweka wenyewe bado munsalia pale pale. Tena muwazuri katika mijadala lakini utekelezaji ni zero!! Swali unafaa ujiulize licha ya kutumia kesi ya ugiriki kama kisingizio ni je! Ikiwa wamesalia kuvurugika kiuchumi, mbona mataifa kama uispania na italia ndani EU wameweza kuzimudu uchumi zao licha yao kushuhudia kuanguka kwa uchumi? Kwa sasa udadisi utakwambia Ujerumani wana export market kubwa na ndio wanafurahia matunda ya euro/monetary intergration na vile vile Ufaransa. Kwa hivyo kuweka ma permit au visa sio msingi wa kuboresha uchumi, lazima kuwe na export market ambayo imesimama kando na kutafakari shughuli za double or single permits.

source:BBC News - Q&A: Greek debt crisis

lock1.gif
kawaida, usifiche Kidonda maana kitageuka saratani
lock1.gif
 
Mzalendo452

I repeat you are not talking to a fool my dear friend let me quote a piece from the source that you have provided us with. It says and I quote,

Why is Greece in trouble?

Greece has been living beyond its means since even before it joined the euro. After it adopted the euro, public spending soared and public sector wages practically doubled.

However, while money has flowed out of the government's coffers, its income has been hit by widespread tax evasion.
When the global financial downturn hit, Greece was ill-prepared to cope.

Do you happen to know what led to an increase level of government public expenditure? Jibu ni kwamba serikali ilikuwa inagharimika zaidi kuhudumia wale unemployed greeks who have no jobs as result fewer opportunities available. Vile kuwahudumia wagiriki wasiojioweza ambao hawana kazi. Fahamu kuwa Greece had a socialist government that believes in equality and fairness and as result they were living beyond their means.

Perhaps ngoja nikupatie article ambayo itakusaidia kasome article hii:-
EU Accession effects on export performance: The case of greece, Koukouritakis, M., South-Eastern Europe Journal of Economics, 2006.

Namquote jamaa anasema hivi kuhusiana na impact ya intergration on greece exports. :-

This paper estimates the effects on Greek export performance that caused by the
EU accession. A simultaneous equations model of export demand and export supply
is used in order to avoid the simultaneity problem. Comparative static analysis
and the residuals approach have been implemented. The results indicate that EU
accession had a negative effect on the country's export performance, instead of improving
it. One of the reasons for this effect is that the export subsidies, during the
time period that they were available, just improved the exporters' revenues and
were not used for creating new comparative advantages for the Greek products.

Tukirejea katika utalii effect ya EU intergration is visible katika study hii hapa courtesy of Nikolas Stafos a blogger who obtained data from the Central Bank of Greece see below:-

Greece's Tourism Decline

There is a persistent focus on tourism receipts to gauge the health of the Greek economy as it heads into the fall and winter. Tourism receipts have, in fact, been dismal in 2010, falling 12% on a year on year basis in 1H 2010 (earnings in January-June 2010 versus January-June 2009). But this cyclical downturn – which started in Q4 2008 – masks a broader decline in the sector that needs addressing.

Start with the big picture. Over the past decade, tourism has made a progressively smaller contribution to Greek exports: in 2000, Greece received €10 bn from tourism, a number that grew just 3% over a whole decade to €10.4 bn in 2009. Given inflation in this period (the price level in Greece was 40% higher in 2009 versus 2000), in real terms, Greek tourism brought in 22.5% less revenue in 2009 than in 2000.

As a result of this stagnation (or decline), Greek tourism made up 25% of exports in 2000 but only 20% in 2009. Since 2003, the important of tourism as a share of total exports has fallen each year with the exception of 2009 – although this was because other exports fell more than tourism rather than because tourism performed well. The data to investigate this further is not very good (or at least not as easily available) but some high level conclusions can be generated from the table below.

In summary ndugu mkenya hapa umekutana na chuma cha pua kadanganye wakikuyu wenzio but sisi watanzania hudanganyi mtu. Unitary visa has no benefit to us I beg to differ.
 
Last edited by a moderator:
Mdondoaji

Mkuu Mdondoaji: Well presented and keep it up. For too long now our neighbours to the north have had a field day in this forum. It is time we put some sense into their heads. They know it : that Tanzania is the economic powerhose in this region in the coming few years and they are in a rush to make sure that when this happens we are in a marriage that is going to be very difficult and costly to break. Unfortunatelly for them HATUDANGANYIKI!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom