Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,321
Mahmood hujielewi,ninajenga hoja huru,na kujibu hoja zako vile ulivyozileta,kwa uju.ha tu huna unachoweza kutoa kama hoja ndiyo maana unakimbilia hitimisho la kiju,ha ati upo wrong side, umekaririshwa kwamba kila anayehoji mambo ya kiji,nga ya Allah na Muhammad wake yupo wrong side,nawe kibubusa umekariri kila ukibanwa na hoja unahitimisha kwa vile upo ''wrong side. pole sana utakufa ukiwa Msukule wakati nafasi ya kujitambua unapewa hapa bila hata kulipia. Jibu hoja kwa hoja ili uweze kujifunza na kuujua ukweli.Madhali utu wako umekosekana itakuwa vigumu kwako kutambua kama upo katika wrong side bro, pole sana.
Msukule wewe, mimi sijasema naijua tafsiri ya Quran, mimi nasoma Tafsiri zilizofanywa na Misukule wenzio,kama unafikiri wamekosea lete tafsiri zako , tutaziaangalia kwenye kamusi husika kujua nani yuko sahihi au karibu na ukweli kati ya ninyi Misukule wote mliotoa tafsiri.
Kwa kuwa katika dini yenu ni halali kudanganya ili kutimiza malengo ya kidini hakuna cha ajabu,lakini huachwi udanganye kwa kutumia JF.
Wewe nadhani unaupinga uislam. Hii aya hapa inasema pale mnapochokozwa au mmeambiwa muwapige?
Sura 9:29
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
"Fight against such as those to whom the Scriptures were given [Jews and Christians]...until they pay tribute out of hand and are utterly subdued."
Wee mbumbumbu nenda kasome aya zote za sura hiyo ndio utafahamu (wewe unaleta aya nusu nusu, ili ujidanganye mwenyewe au vipi bro, Teeh teeh teeh! Kwi kwi kwi! Duuh! ipo kazi, makafiri bwana lo! makaidi sana.
Acha uongo bro, pia usisahau kwamba Palestine imetawaliwa na wakoloni.
Wapo katika vita vya kupigania uhuru wa inchi yao.
Be Proud of your Devilsh Religion bro. desperatelly,Allah anamwambia mtume wake ''Muhammad'' apigane na makafir walio karibu yake, wewe ni Mfuasi wa Muhammad,ujumbe huo unakwambia pigana na kafir aliye jirani yako,maana ni maagizo ya Allah, wewe bila hata soni unasherehesha ati kakwambia pigana na anayekuzuilia Ibada,wapi imeandikwa anayekuzuilia ibada katika aya hizo ?
Hupelekwi kibubusa maana hujielewi na huwezi kuhoji msukule wewe, imeandika ''Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu'' Maalim anakwambia ''pigana na wale wanaokuzuilieni ibada'' badala ya kuhoji mbona aya haizungumzii waliokuzuieni Ibada ? Kibubusa unaamini kwamba ina maanisha upigane na waliokuzuilia ibada wakati ukweli inakwambia pigana na sisi tunaokana umungu wa Allah wala utume wa yule mfuasi wa Sheytwani,Mwizi,Muuaji,mbakaji na mporaji wa misafara ya wafanya biashara.
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
Sasa wewe unakuwa kama umerukwa na akili.
We unaichomoa hiyo aya na kuibandika kivyake huku unaacha kuweka kisa kizima kwanini imeeleza hivyo??
Hapo ulipiambiwa hadi walipe kodi zao vipi hapakushughulishi??
Hiyo sura ni kisa kurefu kimeanzia huko nyuma kuelezea madhila waliyokawa wanayapata waislam kipindi hiko kama haya wayapatayo kipindi hiki.
Then wakaambiwa wajilinde na kuokoa uhai wao.
Ni juu yako kukubali ama kutokubali tunachokuambia.
Kwa sababu after all kusema kwako ubaya dhidi ya uislam either kwa makusudi ama kwa kutojua hakuathiri chochote uislamu.
Uislam wewe umezaliwa umeukuta na urakufa utauacha kama walivyouacha makafiri wenzako wa zama na zama waliopita waliokawa ngangari na imara zaidi yako katika kuuchukia uislam.
Wamekufilia mbali huko na wameoza.
Uislam bado upo dunian unaendelea kwa kasi ya ajabu.
Na akhera kuna adhabu kali kabisa kwa makafiri wasioamini mungu kama wewe.
Jehannam inawangoja na mtaungua humo milele na milele.
Subirini tu.
Tutakufa soon na ukweli mtaujua huko huko.
Ukweli ni kwamba hiyo mistari inachochea uuwaji, lakini mnaogopa kwa sababu kuna polisi. Lakini pia makafir wa magharibi mwenyezi Mungu kawajalia akili, mkienda kuwachokoza tu wanawafyeka na B52
Sasa wewe unakuwa kama umerukwa na akili.
We unaichomoa hiyo aya na kuibandika kivyake huku unaacha kuweka kisa kizima kwanini imeeleza hivyo??
Hapo ulipiambiwa hadi walipe kodi zao vipi hapakushughulishi??
Hiyo sura ni kisa kurefu kimeanzia huko nyuma kuelezea madhila waliyokawa wanayapata waislam kipindi hiko kama haya wayapatayo kipindi hiki.
Then wakaambiwa wajilinde na kuokoa uhai wao.
Ni juu yako kukubali ama kutokubali tunachokuambia.
Kwa sababu after all kusema kwako ubaya dhidi ya uislam either kwa makusudi ama kwa kutojua hakuathiri chochote uislamu.
Uislam wewe umezaliwa umeukuta na urakufa utauacha kama walivyouacha makafiri wenzako wa zama na zama waliopita waliokawa ngangari na imara zaidi yako katika kuuchukia uislam.
Wamekufilia mbali huko na wameoza.
Uislam bado upo dunian unaendelea kwa kasi ya ajabu.
Na akhera kuna adhabu kali kabisa kwa makafiri wasioamini mungu kama wewe.
Jehannam inawangoja na mtaungua humo milele na milele.
Subirini tu.
Tutakufa soon na ukweli mtaujua huko huko.
Ndiyo hao makafiri wa magharibi wenye akili waliokaja na meli zao huku zingine zikiandikwa jesus kuchukua mababu zako na kwenda kuwafanya watumwa huku wakitumia vifungu vya bible wameamrishwa na uislam pia.
Makafiri hao hao wa magharibi unaowasifia ndio ambao walianzisha world war 1 na world war 2 na kumwaga damu nyingi sana dunian hapa huku wakiamrishwa na huu huu uislam.si ndiyo??
Makafiri hao hao wa magharibi unaowasifia ndio ambao wanampa joseph kony of LRA UGANDA AANZISHE MAJESHI YA KUPIGANIA KUSIMAMISHA AMRI KUMI ZA MUNGU UGANDA HUKU AKITUMIA WATOTO WADOGO KAMA ASKARI WAKE HUKU WANABAKA KINAMAMA BILA HATIA PIA WAMEAMRISHWA NA UISLAM.
MAKAFIRI HAO HAO WA MAGHARIBI UNAOWASIFIA NDIO WANAOTOA MAJESHI YAO NYUMA YA MGONGO WA NATO KUPELEKA KATIKA NCHI ZA KIARABU KUSABABISHA MIFARAKANO NA UMWAGAJI DAMU ILI WAIBE MAFUTA PIA WAMECHOCHEWA NA UISLAMU.
NI KWELI MAKAFIRI WENZAKO WA MAGHARIBI WANA AKILI SANA.
Acha porojo Msukule wewe, Sherehesha hiyo Aya ilivyonukuriwa, mawazo yako kinyume na andiko la Allah peleka Madrasa, ok.
Imeandikwa wakristo tuteswe hadi tuukubali Uislam au tutoe Jizya. Kosa la kulazimishwa tutoa Jizya ni la kumkataa shetani na mambo yake yote na kazi zake zote, wewe waona halali ?
Zipo aya nyingi zinazoelezea namna ambavyo watu wa Allah wanatakiwa kuwatenda wasiomwamini Allah wala Muhammad,kwa nini hamtaki kuzikubali kama zilivyo mnasherehesha kuonyesha kwamba zilitokana na kuonewa kwa Waislam ? Historia ya Muhammad alipokuwa madina hadi aliporejea makka iko wazi,alipata mafanikio makubwa kutokana na uporaji wa mali za wafanyabiashara kwenye misafara,alitengeneza jeshi kubwa na kusilimisha watu wengi na akawa na nguvu na mali nyingi...
Ni baada ya kuwa na nguvu na mali nyingi ndipo sa Allah alianza kumpa aya za namna ya kuwatenda waliokuwa kinyume chake na kkutomuamini Allah, ni kwanini hamuutaki ukweli ambao historia imeuweka wazi ?
Kwani pale makka kuna makafiri wangapi wanaishi pasi na kuuawa tatizo lako umezoea kulishwa matango pori pale kanisani sio makosa yako.
Aya zetu zinashereshwa na mtume wetu kupitia hadithi sahih wewe endelea kushehereshewa biblia yako na Gwajima akikwambia muache mke wako akae nae usiku kucha amtoe mapepo kubali tu....
Huyu mtoto kawekwa hapo apigwe picha ya propoganda.huko gaza si wanauwawa watoto na kina mama tu
Ukweli ni kwamba hiyo mistari inachochea uuwaji, lakini mnaogopa kwa sababu kuna polisi. Lakini pia makafir wa magharibi mwenyezi Mungu kawajalia akili, mkienda kuwachokoza tu wanawafyeka na B52
Hao Boko haram mbona wanatumia hiyo mistari kuua? au na wenyewe hawajui Quran