Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
Wakati mwingine pia utuwekee picha za mayatima waliopatikana baada ya baba zao kuuawa kwa jina la ALLAH huko Kenya, Nigeria, Zanzibar, Arusha nk. Au wakiuawa kwa jina la ALLAH hakuna shida?, mijitu kila kukicha inajitoa Muhanga, inavamia makanisa na kuua watu, lakini hamsemi