A Palestinian boy

A Palestinian boy

Status
Not open for further replies.

Mahmood

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2008
Posts
7,908
Reaction score
2,480
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
 
Attachments

  • 1405190597354.jpg
    1405190597354.jpg
    28.5 KB · Views: 780
Blames to Hamas!
They kidnapped and killed three youths for no offense.
Remember the youths were schoolers not soldiers!
Bodies of three missing Israeli teenagers found in West Bank | World news | The Guardian

They launched hundreds of rockets in Israel. IDF is not a Jazz Band but army that is charged with protecting the State of Israel at any cost!

They use civilians as their shields. You seem to pity "Palestinians" civilians which I really do also. But when amunition and rocket launchers are in civilian houses and backyards, what do you expect the IDF to do? Just watch as Israel burns?

I was watching a wedding when code red siren sounded and the wedding had to end there, all running to shelter. I would not vouch for that in Tanzania, nor in Israel. IDF have to pound Hamas weapons, wherever they are.

I support the right of Israel to defend herself!
 
Acha uongo bro, pia usisahau kwamba Palestine imetawaliwa na wakoloni.

Wapo katika vita vya kupigania uhuru wa inchi yao.
 
Vita ya magaidi wanaiweza hawa tuu dunia nzima! Uhuru hawezi hii vita.
 
mgogoro huu ni complicated, Ila huwa nashangaa watu wanaoleta ushabiki wa kidini.
 
Nani amekwambia kwamba mgogoro huu ni complicated? sio complicated wala nini, hao ni wazungu kutoka Europe wameitawala Palestine kwa mabavu kwa msaada wa USA na Europe.
 
usieleze nusu habari, eleza kisa chote kama umeamua kuwa mkweli ustaadhi. wameishi na waparestina bila kugombana tangu miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita maeneo hayo hayo. Inakuwaje waanze kugombana leo. Huko ulaya walifikaje? Dunia nzima hakuna anayekubali unyama wa IDF kwa waparestina, Japokuwa hata Hamas wangekuwa na angalau nusu ya Nguvu ya waisrael Hivyo vifo vya watoto na wakina mama wa parestina ungeviona pia kwa waisrael.

Kikubwa Tumia Muda Mwingi Kuomba amani mahali hapo maana mayahudi walikuwepo hapo hata kipindi cha Mtume. watu watakushangaa kuwaita eti ni wazungu kutoka ulaya.
 
walitegemea nini walipoteka na kuua watoto wa watu? je wanajua wayahudi wanafuata sheria ya jino kwa jino?
wanaufahamu uwezo wa kijeshi wa israel?
 
Kwa nini watashangaa? na huu ndio ukweli? Wanao ongoza hapo Israel ni Wazungu kutoka Europe (sio wayahudi wa asili)
Wayahudi wa asili (wengi wao wanaongea kiarabu) wapo lakini hawana cheo hapo Israel na hawajatoka Europe (wanateswa kama wanavyo teswa Waislamu pamoja na Wakristo Wakipalestine).

Watu wengi wanadanganyika sana na hizi propaganda za kimagharibi, watu hao wakijua ukweli wa mambo yanavyo kwenda hawawezi kuwa support Wakoloni hata kidogo. Israel haikuepo katika ramani ya dunia kabla ya mwaka 1948, Israel was created in 1948.
 
Kwa nini watashangaa? na huu ndio ukweli? Wanao ongoza hapo Israel ni Wazungu kutoka Europe (sio wayahudi wa asili)
Wayahudi wa asili (wengi wao wanaongea kiarabu) wapo lakini hawana cheo hapo Israel na hawajatoka Europe (wanateswa kama wanavyo teswa Wakristo na Waislamu (Wakipalestine)

Huwezi amini ile janja ya kuteka waisraeli nakuua hao watoto ilikua ni njama ya israel ili wapate sababu ya kuipiga gaza maana wamekaaa muda mrefu na walikua wabataka kujua ni silaaa gAni walizo nazo hamas maana hanas walikana kuhisika na utekaji ule
 
Watu wengi wanadanganyika sana na hizi propaganda za kimagharibi, watu hao wakijua ukweli wa mambo yanavyo kwenda hawawezi kuwa support Wakoloni hata kidogo.
 
Huwezi amini ile janja ya
kuteka waisraeli nakuua hao watoto ilikua ni njama ya israel ili wapate
sababu ya kuipiga gaza maana wamekaaa muda mrefu na walikua wabataka
kujua ni silaaa gAni walizo nazo hamas maana hanas walikana kuhisika na
utekaji ule

hii peleka kwenye vijiwe vya kahawa ,kashata na drafti
 
walitegemea nini walipoteka na kuua watoto wa watu? je wanajua wayahudi wanafuata sheria ya jino kwa jino?
wanaufahamu uwezo wa kijeshi wa israel?

1) Hao sio wayahudi, hao ni wazungu kutoka Europe, wee mbona unadanganyika kirahisi sana (hivi haujui history wee) Israel haikuepo kabla ya mwaka 1948.

2) Hamas walikana kuhusika na utekaji huo
 
hii peleka kwenye vijiwe vya kahawa ,kashata na drafti

Ww hujauelewa huu mgogoro ndugu ndomaaana hujui maana ya propaganda vyombo vya habari vya magharibi havionyeshi uhalisia wa matukio
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom