Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Wewe unadanganywa na media za ma criminals na unakubali kudanganyika kirahisi kabisa, pole sana bro.
Wewe ambae upo huko live ebu tueleze ukweli
Wewe unadanganywa na media za ma criminals na unakubali kudanganyika kirahisi kabisa, pole sana bro.
usieleze nusu habari, eleza kisa chote kama umeamua kuwa mkweli ustaadhi. wameishi na waparestina bila kugombana tangu miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita maeneo hayo hayo. Inakuwaje waanze kugombana leo. Huko ulaya walifikaje? Dunia nzima hakuna anayekubali unyama wa IDF kwa waparestina, Japokuwa hata Hamas wangekuwa na angalau nusu ya Nguvu ya waisrael Hivyo vifo vya watoto na wakina mama wa parestina ungeviona pia kwa waisrael.
Kikubwa Tumia Muda Mwingi Kuomba amani mahali hapo maana mayahudi walikuwepo hapo hata kipindi cha Mtume. watu watakushangaa kuwaita eti ni wazungu kutoka ulaya.
Na kadri Misukule ninyi mnavyounga mkono matendo ya Hamas ndivyo mnavyochochea vifo vya raia wa palestina, bahati mbaya sana hata wapalestina karibu wote ni Misukule, wao huweza kukariri tu,kutafakari ZEROOO!
Kama wanajeshi wa Israel wangefanya kinyume na wanavyofanya wangekuwa sawa na kundi la Fisi.
1) Hao sio wayahudi, hao ni wazungu kutoka Europe, wee mbona unadanganyika kirahisi sana (hivi haujui history wee) Israel haikuepo kabla ya mwaka 1948.
2) Hamas walikana kuhusika na utekaji huo
Yesu anasema ya Mungu mpe Mungu na ya Kaizal mpe Kaizal. Mtu anaweza kuwa mwanasiasa lakini akawa na jina la kikristu, mtu huyo akiuwa kwa siasa zake, hatusemi kuwa kauwa kiimani. Lakini nyinyi wenzetu mnamuhusisha Allah kwenye umwagaji damu. Ndio maana pale westgate wauwaji ilipofika muda wa swala za jioni wakaanza kuswali kama kawaida ikionesha kuwa kuua katika uislam ni ruksa
ardhi ni ya ISRAELI
A Palestinian child is crying to his died father killed by Israeli soldiers 
Ficha ujinga wako usifiche hekima yako.
Tell these idiot Hamas and idiot IDF to stop exchange fire, ofcourse they are all idiot because they don't know who pay the price for escalation. I would rather than not side with neither IDF nor Hamas because they are all threat to the welfare of ordinary citizen including women and children
Acha dharau wewe pusi.Wewe ni mkristo unaefurahia MAUWAJI YA WATOTO WACHANGA!
Ndivyo imani yako inavyokufundisha! Kufurahia mauwaji ya watoto wadogo!
Umeshahau kuwa ni hao hao waliomsulubu mungu wako!
Ama kweli kondoo ni kondoo tu!
Umesahau mtume wako alivyoua wayahudi zaidi ya 900 kwa siku?
Mahmood kwa uchafu huu hapa, uwezi kunishawishi hata ipite miaka 200
Sura 2:191
Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
Sura 9:5
Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Sura 9:27
Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu[wakristu na wayahudi], mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
Yesu pia aliuliwa na mtume wetu??
Si na hao hao mayahudi kama mnavyosema.
Cha ajabu eti mnawashangilia.
Kweli wagalatia hamna akili.