Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Kuhusi Daudi na Goliati sawa, sisi tunafuata hitimisho iliyofanywa na Yesu basi
Wewe hii unaitafsiri vipi?
Sura 9:123
Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na jueni ya kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wacha- Mngu.
Surah 9:73
Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na wakazanie. Na makaazi yao ni Jahannamu, na huo ndio mwisho mbaya.