Gs-300
JF-Expert Member
- May 2, 2014
- 446
- 573
Hahaha, unapomsema Yesu maneno machafu kama haya hata Shetani anakushangaa, maana Quran inasema Yesu yuko hai mpaka sasa, pia anaongea na Mungu direct. Pole sana, tayari umekwisha hukumiwa
Weye unamzungumzia yule mungu yesu wa pale msalabani, sio!? Daah!
Yule alikua ni mrongo tu!...na dunia nzima inafahamu hilo...ndo maana alipolewa chakari ile divai...akatoa ahadi za kilevi yakua ati "nitarudi"!? Looh!
Si unaona yakua mpaka leo myaka zaidi ya alfu mbili na ushee...bado ameshindwa kutimiza ile ahadi yake ya kilevi!?...na mpaka leo ninyi bado mnamsubiria, sio!?
Ninakuhakikishia yakua yule mungu yesu wa pale msalabani...hatorejea/hatorudi...maana hana asilan uwezo huo na walaa hana huwezo wa kunihukumu mimi....yule sio mungu na walaa hajapata kusema yakua yeye ni mungu...na walaa hajawahi ku-claim kuwa ana uwezo wa Mwenyezi MUNGU Mtukufu!? Kwi! Kwi! Kwi!
Salaam zao!