A Night Date with a Man

Alikuwa boss wangu miaka iliyopita ila sasa sio na yuko states, hayuko bongo
Ni mtu mzima, mtoto wake wa kiume yuko chuo hakosi miaka 57 hivi

jamaa kasema unanipga umbea nikasema isije kuwa anko T?

Kuna mpangaji wangu mmoja anaitwa juma chande nae ni popular unamjua?
Lazima mjuane
 
Huyo ndio type yako sasa 🀣🀣
Maisha hayawezi kuwa too serios, tunaenjoy while we can. Soon kunachwea
Kabisaa kwanza heshima ya kumpisha mtu ni wachache mno wanayo!
Acha ufala faza mwenyew🀣🀣🀣🀣
Aah umesema mwenyewe ushakuwa faza tulia basi🀣🀣
Haha mimi najua kabisa uko late 20s labda 28, 29 hivi.
Hmm umri wa dogo huo, shazeeka kabisa!
Nacheka eti umesahau
Ndioo😁
 
Huyo ndio type yako sasa 🀣🀣

Kabisaa kwanza heshima ya kumpisha mtu ni wachache mno wanayo!

Aah umesema mwenyewe ushakuwa faza tulia basi🀣🀣

Hmm umri wa dogo huo, shazeeka kabisa!

Ndioo😁
Sema unaona kwenye public transport jamaa kampakata mwanamke mahsllah kila mtu anakodoa

Unajiuliza wanashangaa au wanaona wivu.
Nakubaliana na wewe

Wewe katika maisha haya hakuna anayetaka kuwa alone, yani hata ukimpata ambae yuko too serious unaishi nae
The most important thing, you already said it unamjua na kumzoea

Wakati nakutana na wife alikuwa mnakaa let say living room. Mnaweza kaa 3 hrs hamjasemeshana. Unaweza sema ugomvi vile, story mpaka nianzishe mimi, mpaka leo yuko hivyo
Unazoea tu

Wakati huku unaona nyuzi watu wanaandika wake zao they talk too muchπŸ™‚ unapata huyo huyo unapambana nae
 
Sema unaona kwenye public transport jamaa kampakata mwanamke mahsllah kila mtu anakodoa

Unajiuliza wanashangaa au wanaona wivu.
Nakubaliana na wewe
Kwani unajali? Uchizi wenu ukiendana mnaishi sana..
Wewe katika maisha haya hakuna anayetaka kuwa alone, yani hata ukimpata ambae yuko too serious unaishi nae
The most important thing, you already said it unamjua na kumzoea
Hmm mimi hapana!
Wakati nakutana na wife alikuwa mnakaa let say living room. Mnaweza kaa 3 hrs hamjasemeshana. Unaweza sema ugomvi vile, story mpaka nianzishe mimi, mpaka leo yuko hivyo
Unazoea tu
Basi ni mkimya tu kama mpaka leo yupo hivyo! Bora ushazoea ungekutana na wasionyamaza tena ungeona kero kama kuna muda unahitaji utulivu!
Wakati huku unaona nyuzi watu wanaandika wake zao they talk too muchπŸ™‚ unapata huyo huyo unapambana nae
Uweeh huyo ndo mzuri wanaongea mpaka uzoee kabisa!
 
... 'Angenitongoza tu kazi hana'...

Wewe huyo huyo ... 'Binafsi a date na mwanamke ni amazing kuliko a date na mwanaume, it was fun but it was not enough'.

Tukueleweje sasa?

Ni kweli kwa usemi usemao "mwanamke huwa hajui anachokitaka katika maisha yake"!
 
Seran, you always one of my favorite peeps on JF. And pleasure talking to you
But now its late and I have to go

Cont...conversation where we left off

Have a wonderful night, πŸ™‚
 
Unapiga miguu yote?

Unainjoi kusagana kuliko kutombana?
 
Seran, you always one of my favorite peeps on JF. And pleasure talking to you
But now its late and I have to go

Cont...conversation where we left off

Have a wonderful night, πŸ™‚
Thanks ulale salama faza😎

Mimi mpaka kukucheeπŸ€ΈπŸ½β€β™‚οΈ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huwa si engage na watu ambao hawako level zangu, naweza kumfahamu labda kwa kumuona huko mitandaoni picha zake labda.

Oooh boss wako yuko mambele huko, hiyo imekaa poa sana.
 
Nimesoma haraka docta nikijue mbele kuna scene ya kimasihara nianze kushangaa!!!!!

But kijana umemuelezea vizuri sana
Kuna kipande hakijamaliziwa,inaonekana Mwamba alitunukiwa mzeebabaa kusoma hujui hata picha huoni?

Kazi za usalama ni ngumu sana aisee yaani hadi noniliu ikibidi unatoa tu kmmq,🀣🀣🀣🀣
 
Kuna kipande hakijamaliziwa,inaonekana Mwamba alitunukiwa mzeebabaa kusoma hujui hata picha huoni?

Kazi za usalama ni ngumu sana aisee yaani hadi noniliu ikibidi unatoa tu kmmq,🀣🀣🀣🀣
Hakuna alipotunukiwa soma kwa sautu kuu NB uelewe
 
Kwanza sipendi kutongozwa na wanaume, pili sipendi mahusiano kazini, tatu sikuwahi kuexperience a date na mwanaume ilikua mara ya kwanza na sikuenjoy kama ambavyo hua naenjoy na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…