Wewe nae ni limbukeni tu, mbona suala la sumu limetajwa kwenye video clip hiyo hiyo? Yaani maana yake una post kitu ambacho hata haujakithibitisha au haujakisoma na kukisikiliza kwa kina. Tafuta ile video clip urudie kuisikiliza kwa makini. Ushabiki mwingine mbaya sana, najua mmefurahi sana ccm kwa sababu mnahisi kuwa hii single itahit sana, lakini ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka....jitahidini sana, maana hii ndiyo karata yenu ya mwisho, lakini nawahakikishia, mwisho mtashindwa kwa sababu hakuna muanzisha vita vya uonezi ambaye huwa anashinda vita hiyo, tutawashinda tu, no matter how long will it take!!!