Sasa hivi ni maswala ya kisheria zaidi siyo maneno matupu Bavicha wamenasa kwenye Trap hawawezi kutoka.
A Million Dollar Question...
Halafu kitendo cha Dr. Slaa kumtetea Lwakatare na kumkana Ludovick kuwa hamfahamu ni very risky. Iwapo Ludovick atapata vithibitisho vya kufahamiana na Dr. Slaa basi Dr. ataaibika mno.
Hii ishu ya sumu itazua mengi sana...
Ya nini uanzishe uzi alafu wewe mwenyewe ujaze kupost kwa nini usiache watu wachangie tu. Hiyo simu labda ndo mliyotumia kuua Kolimba au mnafikiri watu wamesahau?
Wakurupukaji, wachumia tumbo Kama wewe, hupofushwa na Njaa zao na kujikuta wana fanya mambo na kushabikia vitu amabavyo Kimsingi ni Mtu mwenye akili za Mwenda wazimu ndo anaweza kufanya.Wavivu wa kujiuliza maswali siku zote huwaachia wengine wafikirie kwa niaba yao.
Wewe ni mmoja wao. Unamsubiri Dr. Slaa akutengenezee majibu...
Yaani uzi umeandishwa na magamba kisha unaendeshwa na magamba mambo yanakwenda kabisa!!!
Mwisho wa ubaya ni aibu.
kaka unapoteza tu muda wako,hii issue kwa sasa iko clear kabisa,na wananchi wana hasira sana huku mitaani,you can not cover up,ache sheria ichukue mkondo wake,ushauri kwa chadema,ingetoka huko mafichoni sasa na kuja hadharani kuwaomba radhi wale wote ambao ni wahanga wa oparesheni za lwakatare na chadema wakianzia na familia ya marehemu rasta chacha wangwe..
Ukianzisha post watu wakaulize maswali, ni uungwana kuwajibu, kama jinsi wewe unavyojibiwa hapa...
Ludovick na Lwakatare wote ni washtakiwa. Wanashtakiwa kuwa wameconive.
Sasa hivi ni maswala ya kisheria zaidi siyo maneno matupu Bavicha wamenasa kwenye Trap hawawezi kutoka.
A Million Dollar Question...
na humu hawatoki kudadadeki upange mauaji na ubaki kutetewa na katibu mkuu wa cdm
Magwanda wamejificha kwa aibu. Wamepigwa na butwaa. Walikuwa hawajui kuwa kuna sumu kali imekutwa kwenye ofisi za chama cha siasa.
Cha kushangaza ni kwamba Slaa anamkana Ludovick. Eti hamjui!!!
One million dollar rubbish which carries one million maladjusted logic are here to prove their one million stupidity.
Kamwambie R1 Ole wake. Anajaribu ku-cover mambo aliyomfanyia Kibanda ehe?na humu hawatoki kudadadeki upange mauaji na ubaki kutetewa na katibu mkuu wa cdm
Cha Kushangaza zaidi Riziwani anakana siyo alimkebehi Kibanda ila ni akaunti yake ''ilitekwa''. Akili ndogo kama za babake!!!!
Ya nini uanzishe uzi alafu wewe mwenyewe ujaze kupost kwa nini usiache watu wachangie tu. Hiyo simu labda ndo mliyotumia kuua Kolimba au mnafikiri watu wamesahau?