A Mexican is twice richer than Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A Mexican is twice richer than Tanzania

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Kasheshe, Mar 12, 2010.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Source: The citizen

  By The Citizen Reporter
  Mexican tycoon Carlos Slim was on Wednesday named the world’s richest person, with a net fortune of $53.5 billion (Sh70 trillion), which is more than twice Tanzania’s GDP of $24 billion (Sh31.1 trillion).

  GDP is the total value of goods produced and services provided in a country during one year.

  Mr Slim was named the world’s wealthiest person by the respected Forbes magazine, and his total wealth is enough to run Tanzania’s government under current budgetary levels for seven years. The government’s 2009/2010 budget totals about $8 billion (Sh9.7 billion).

  Mr Slim moved to the top of the rich list after dislodging Microsoft founder Bill Gates, who for the past decade was the world’s richest person. Mr Gates is second on the latest Forbes list with a net worth of $53 billion.

  Mr Gates has donated billions to humanitarian causes through the Bill and Melinda Gates Foundation, and Mr Slim has followed suit by pledging to donate $65 million (Sh85 billion) to fund research into genomic medicine. He will team up with American billionaire philanthropist Eli Broad in the endeavour.

  Mr Warren, Buffett described by Forbes as “America’s favourite investor”, was third with a personal fortune of $47 billion from a wide range of businesses. India’s Mukesh Ambani, who has interests in petrochemicals, gas and oil, was fourth on $29 billion, while steel magnate and compatriot Lakshmi Mittal was placed fifth with a net fortune of $28.7 billion.

  Others in the top 10 included American Lawrence Ellison and founder of Oracle ($28 billion); France’s Bernard Arnault, who has made $27.5 billion from luxury goods like jewellery, and Brazilian mining and oil tycoon Eike Batista, who added a whopping $19.5 billion to his personal fortune in the year under review to amass $27 billion. He has reportedly vowed to climb to the top spot in a few years.

  In ninth and tenth positions are Spain’s fashion retailer Amancio Ortega ($25 billion) and Germany’s Karl Albrecht, whose net worth of $23.5 billion was earned from running supermarkets.

  Three women are in the list of the top 20 billionaires with US Wal-Mart sisters Christy Walton and Family ($22.5 billion) and Alice Walton ($20.6 billion) taking 12th and 16th positions, respectively, while make-up heiress Liliane Bettencourt from France was 17th with $20 billion posted by her business line L'Oreal.

  There is no person from Africa in Forbes’ list of the world’s top 100 billionaires.

  My take:
  Pigeni siasa zenu tu mwanya.
   
 2. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Udaku huu sasa. Hawezi kuwa richer than Tanzania atakufa masikini na Tanzania itaendelea kutesa. LOL
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  ''Mr Slim was named the world's wealthiest person by the respected Forbes magazine, and his total wealth is enough to run Tanzania's government under current budgetary levels for seven years. The government's 2009/2010 budget totals about $8 billion (Sh9.7 billion)''.

  pigeni domo tu na CCM yenu wee, mpaka uambiwe kunamtu anaweza kumlisha kila mtazania akiwemo Mengi kwa muda wa siku 100!

  oho! mwakyembe, mara oho! kilango, , mara oho! Sita,

  wapiganaji!!my foot! walikuwa wapiganaji akina rostam azizi! G55, CCM ile ile tangu miaka hiyo, leo kuna tu anasimama akiweka matumaini kwenye hili monster!

  Haya sasa oneni matusi hayo, endeleeni kuwategemea akina Ngeleja na boasi wake

  eti Pinda PM!
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Maneno ya mkosaji, tukubali tu hilo tusi, tujipange, tusifukiefukie!
   
 5. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu huyo jamaa na fedha zake hawezi hata kununua ardhi ya kutosha kuwaweka Watanzania humo ndani let alone kuwalisha. Are you kidding me?
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu wewe Acha,Carlos ni tajiri.Na sasa hujaambiwa hao walioko top 10 utajiri wao ni $432 Trillion.Sasa haya si ni matusi makubwa kabisa haya.
   
 7. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  kwani wao wamesema hivyo , kwenye hilo gazeti, huoni kuwa wewe ndio unasema hivi,

  wao wameangalia bajeti yetu na kuangalia fedha zake, wametoa ku-conclusion thats all! haihitaji analysis ya degree

  Ninachokuelewa wewe ni kuwa hawezi kufanya hivyo na ni kweli hawezi kwa sababu bajeti ya tanzania haikidhi mahitaji yote ya watanzania, kama bajeti inavyotakiwa iwe!
  wao forbes kutokujua hilo, wameeleza tu kiasi cha bajeti ya nchi yetu!

  so hilo gazeti wako sahihi based on information from our budget, WEWE uko sahihi kwa sababu ni mtanzania unayeujua ukweli!

  ukweli ni kuwa bajeti yetu hai-reflect au kukidhi haja ya watanzania, NA ndiyo alama ya umaskini wenyewe!
   
 8. h

  housta Senior Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Analysis from Forbes magazine or The Citizen?The article is from The Citizen,that was copied from Forbes.Forbes didn't compare Slim/Tanzania.They only published the rich list!The rest yanatoka kwetu!
   
 9. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo ni kuchanganya mambo. Huwezi kulinganisha networth na GDP au Government expenditure then ukaconclude jamaa ni rich kuliko Tanzania. Pia kumbukeni networth haihusishi cash in hand maana ukizungumzia budget ya Tanzania unazungumzia cash collection ya mwaka mzima unaweka assets pembeni. Sasa ukiivalue Tanzania huyo jamaa ni mdogo saana. Kwahiyo tunapaswa tuelewe networth tunafocus kwenye net ya assets na liabilities ambayo hailinganishiki na nchi maana km unaweza uanze kuvalue kila kitu then liabilities ndiyo useme.
   
 10. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mkuu naona umeamua kufunga biashara asubuhi.
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Kusema kwamba Slim ni richer than Tanzania ni upotoshaji, ignorance au vyote.

  Elewa tofauti ya net worth na GDP.

  Ukitaka kupata net worth ya Tanzania pigia mahesabu thamani ya ardhi, na madini yake yote, miti yote, mazao ya shamba yote, mito yote, maziwa yote, samaki wote, infrastructure zote ukiunganisha barabara, reli bandari, vivutio vya utalii vyote zikiwemo mbuga za wanyama, milima wanyama wenyewe, beaches, upige mahesabu majumba yote, viwanja vya ndege na bado kuna vitu nasahau.

  Hizo hela za Slim tukitaka kumuuzia ardhi ya Tanzania tu na maliasili yake hazitoshi, achilia mbali vitu vilivyojengwa na watu.

  Dola bilioni 50 hazitoshi kununua nyumba za Dar tu. Dola bilioni 50 ni sawasawa na nyumba za dola milioni 3 za Oysterbay kama 16,650. Maybe a posh district.

  Net worth ya Tanzania unafikili bado utakuwa kwenye level ya mabilioni ya dola tu? Ma trilioni? Au hata level ya kutohesabika?

  Ingawa ukweli huu hauondoi ukweli kwamba kuna watu wana net worth iliyo kubwa kuliko GDP ya nchi yetu ni kashfa.
   
 12. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiranga, hapo juu unasema upotashaji then chini nawe unarudi ulipotoka. Inakuwaje? Hivyo vitu havifanani wazungumzie networth to networth. Kumbuka networth ni cummulatively yaani ni kwa kipindi fulani. Halafu inainvolve vitu vingi saana. Uandishi kama huo unapendeza kwenye udaku maana ukiangalia title ya makala na wanataka kuifanya ishu wakati ni upotoshaji kabisa.
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Sijarudia upotoshaji.

  Nimesema

  Elewa tofauti ya Net worth na GDP.Hii ni point muhimu sana.

  Huyu Slim hela zake zote ndiyo hizo bilioni hamsini na kitu, hizo ni hela / mali zake zote.

  Tanzania GDP yetu (uzalishaji wa nchi kwa mwaka mmoja tu) ndiyo takribani nusu yake.

  Sasa kusema Slim ni tajiri mara mbili ya Tanzania ni sawasawa tuchukue mali zako zote, tuseme dola milioni moja, halafu tuzilinganishe na mshahara wangu wa mwaka mmoja, dola laki tano, halafu tukasema wewe ni tajiri mara mbili yangu. Wakati wewe umetumia miaka 60 kupata dola milioni moja na mimi nimepata dola laki tano katika mwaka mmoja tu.

  Lakini kwa kuelewa kwamba Slim ni mtu mmoja, nikaona kurekebisha facts huku kusichukuliwe kama niko complacent na umasikini wetu.

  Kwa sababu hata kama habari ingekuwa kwamba kuna Mmexico huko ana mihela na mali alizo accumulate maisha yake yote ambazo zina net worth iliyo twice our GDP, bado ni habari mbaya.

  Kwa hiyo hamna contradiction wala upotoshaji hapo.

  Si kweli kwamba Slim ni twice as rich as Tanzania kama nilivyofafanua katika hiyo posti ndefu hapo juu.

  Lakini ukweli huu usitufumbe macho tukaona sawa mtu mmoja kuwa na net worth iliyo twice our GDP. Ukitaka kuudharau ukweli huu just because perspective inayoongelewa haijacompare GDP kwa GDP au net worth kwa net worth, wewe ndiye utakuwa unapotosha.
   
 14. Z

  Zungu Pule JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 2,139
  Likes Received: 682
  Trophy Points: 280
  Bilioni hamsini T.Sh. au USD?

  By the way GDP inapima nini? Is it realistic?
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Mazee mbona vitu viko wazi hapo juu, tena para ya kwanza tu, au uvivu wa kusoma?

  Kuhusu GDP ona wiki hii hapa

  [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product[/ame]

  Halafu point yako ya "is it realistic" ina akili sana.Kwa sababu nchi yetu yenyewe "Data not available" na kuna a whole underground economy inaendelea watu wanauza Tanzanite Kenya and some shyt like that, Wamalawi hawana machimbo ya dhahabu lakini wanauza dhahabu wanayouziwa na wabongo katika blackmarket, kwa hiyo hii GDP yetu yenyewe haiko accurate.Ingawa hata ikiwa aacurate I doubt inaweza ku double.
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Nimekuelewa kaka, umenikumbusha baadhi ya wamasai na wasukuma mtu ana ng'ombe 5000 anaishi kwenye nyumba ya nyasi, still tunamuita tajiri!

  Kwa hiyo jamaa anaweza akawa rich kuliko Tz au akawa maskini kuliko Tz kutegemea tunaangalia nini, au nimekosea? tena?
   
 17. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye bold bado sio explanation ya networth. Maana networth si lazima ifanane iitwe pesa yake yoote. Pesa yake haifanani na networth. Hili ni tatizo kubwa kuconclude pesa yake ndiyo networth. Maana ni pamoja na assets ambazo kuna measurement kama fair value nk. Ambayo over the recent imekuwa ni tatizo na ndio kiini cha crisis. Tuache pesa ziwe pesa na networth zibaki hivyo
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Unaondoka kwenye subject matter, una deviate kwenye nitty-gritties sasa.Nitakuonyesha kwamba huwezi subject matter wala nitty-gritties.

  Wewe unajua kusoma kweli? Au kiherehere tu?

  Hapo hapo ulipotilia mkazo kwa rangi nyekundu umeona nilipoandika "pesa /mali"

  Sasa unataka kujiaibisha zaidi siyo?

  Unatoa objection kwamba net worth si pesa / mali bali ni cash/ asset.

  Unataka kutuambia tofauti ya mali na asset sasa?

  Taratibu, soma kwanza kabla ya kukurupuka.
   
 19. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha Hamna haja ya kuandika hasira, tujadiliane kwa hoja. Assets; long term and short term basis. Mfano wa short term basis ni cash, receivables, inventories etc. Hakuna haja ya kustress kwenye cash unapozungumzia networth. Ukweli ni kwamba casha mara nyingi unless kwenye financial institutions zinakuwa ni components ndogo saana. Ninasisitiza tu kwamba networth is merely the difference btn assets and liabilities. Ndiyo tafsiri hasa ya networth. Kwahiyo kupigia mstari pesa/mali bado hujaisema ndiyo networth. Tuendelee kuelemishana
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,193
  Trophy Points: 280
  Trust me hujafika katika level ya kuweza kunikasiriha, it will take you and an army to do that. Ukipewa facts tu ushaona mtu ana hasira, je nikienda kwenye tradition ya toe to teo?

  Unachoshindwa kuelewa au ku obfuscate ni kwamba nikishasema pesa / mali nishacover pesa na asset, regardless ya uchafuchafu mwingine wa shrt term/ long term etc.

  Kwa hiyo nionyeshe nilipokosea wapi?

  Nikisema pesa na mali za Slim ni $ 53.5 billion unaweza kunisahihisha? Basically ndicho unachojaribu kufanya.
   
Loading...