Good. Btw, wewe umeandika kwenye post yako kwamba utajiri wa Bw. Slim ni billioni 53. Sasa ulitaka mimi nieleweje? Kwamba hizi ni T.Sh. au ni USD or any other currency? Then, unanituhumu kuwa sina macho au mvivu wa kusoma kwamba vitu viko wazi para ya kwanza!! Yes, para ya kwanza ilisema bayana kwamba ni USD. Wewe hukusema hivyo. Take it though!
Well, it seems hukuielewa sehemu ya kwanza [GDP inapima nini?] ya swali langu. Ingawaje katika ufafanuzi wako umegusia point niliyoilenga. Kwamba kutumia GDP as a measure of anything is simply a joke and it is by all means flawed. Nimehudhuria lecture nyingi kuhusiana na hii kitu [plus the concept of green accounting] na conclusion ndiyo hiyo. Mr. Sarkozy alichukua hatua kuunda tume iliyokutanisha jopo la wataalamu liliongozwa na Prof. Stiglitz and Prof. Sen, among others, na conclusion yao ni kwamba we need to forget about GDP and search an alternative measure of economic performance. Follow the link:
http://www.stiglitz-sen-fitoussi.fr/en/index.htm.
Nilitegemea msomaji awe familiaar na currency tunayoongelea kutoka post ya kwanza, kwa hiyo sikuona umuhimu wa kurudiarudia currency.Kama unataka kuleta ubishiubishi wa kutaka watu waandike kama wanaandika Ph.D thesis hapa sahau.You have to do the reading from the first post, if you do not I will consider you lazy.Kitu kikishakuwa initialized juu hakuna haja ya kukirudia rudia, hili wanalijua kuanzia computer programmers mpaka waandishi, shukuru hata miye ninayetumia maneno full, utakutana na millenial kids humu watakupiga na lugha ya tweets utashangaa mwenyewe.Hii ni internet forum, si Ph.D thesis presentation, get it straight.
Mara sikuelewa point, mara nimegusia point uliyoilenga, will you make up your mind?
Ukitaka kuleta detailed argument on GDP hapa nitakwambia any economic data about Tanzania is unreliable, kwa hiyo in short huwezi kufanya discussion.
Na hata hao mabilionea wakina Slim billions zao zina fluctuate kila siku, after all the bulk of that wealth is in stocks, and stocks go up and down every day, let alone on a yearly basis.
The point of these discussions ni kwamba tunapata a round figure ya kujua whereabout ya tulipo.Kwamba kama tuna official GDP ya $ 24 billion, hata ukiweka a margin of error ya 20% (very generous) ambayo itakupa GDP anywhere between $ 19 billion na $ 29 billion, halafu ukampa Slim mwenye net worth ya $ 53.5 billion a more conservative margin of error ya 10%, bado upper limit yake itakuwa about twice our upper limit.
I mean hata kama GDP yetu imekosewa kwa kiasi kikubwa sana, hatumfikii (in so far as a comparison between GDP and net worth can go, I know this was objected before, and I even raised the objection, but the point here is that we are mentioning national figures- albeit yearly ones- in the same breath as the net worth of one person) hata tukizidishiwa 40% tuseme kwamba informal sector yetu ina account another 40% ya pesa za slim (about 4/5 ya GDP yetu) ambayo haijahesabiwa, bado tutakuwa na GDP around 90% ya net worth ya Slim. It will take another 50% ya net worth ya Slim, a doubling of our GDP, ili tumfikie. I mean hata kama kuna makosa, makosa haya ku amount to a complete 100% of our GDP is a tall order.Labda unieleweshe vinginevyo.
Ukitaka kuleta academics hapa mimi naweza kukuambia hata huyo Slim mwenyewe si mtu tajiri kuliko wote, kuna mijibaba huko Colombia haiwezi hata kutaja mali zao kwa sababu zinahusika na mambo illegal.Kuna potential matatizo na kila kitu unachoweza kusema kuhusu hizi comparison.
If you really wanna go down to it watu wanaweza hata kuiquestion number theory na kumu invoke Karl Popper, wengine wakamquestion Euclid na kukwambia kwamba parallel lines ukizichora long enough zinakutana.
Kwa hiyo, kama Kenny Rogers alivyokwambia katika "The Gambler"
You got to know when to hold 'em, know when to fold 'em,
Know when to walk away and know when to run.
You never count your money when you're sittin' at the table.
There'll be time enough for countin' when the dealin's done.
Meaning, you gotta know when to apply Newton's laws of Physics, and when to apply Einstein's relativistic ones.You do not want to use relativistic calculating horsepower for a problem that you can solve very well with Newtonian calculations.
Usitumie gobole, au hata sledgehammer kuua nzi.
There is such a thing as over-analysis. Usitumie mapendekezo hot off the press ya kina Stiglitz kufanya uchambuzi wa vitu vilivyo clearly miles apart.
Slim kuwa na net worth iliyo mara mbili ya GDP yetu ni a crying shame.Simple like that.