A light touch: Dakika kumi!

huko kusafiri si mpaka mtu uwe na travel documents au?

Yaani ina maana hako ka inzi kama kanavyoitwa ndo 'kame oza'. Makaratasi kwisha! duh.
Sasa hii kali. Ila nimependa the flow! MKJJ hongera sana unaweza ku draw attention ya watu. Wewe lazima kama utaamua kuandika vitabu vya tamthilia vita hit sana. Bravo kaka.
 
unajua mtu akitoka kunyonya kwa wazazi anaweza kufikiri ana kila kitu. Kumbe ni shibe tu.
 
mkjj, again you stand out from the crowd! thanks for this man.. Unajua, hii kweli inaumiza vichwa sana, tena sana sana. Ila ninaamini in 'my heart of hearts' kuwa kila jambo lina mwisho. Tunaokereka na kuathirika ki-kweli na haya tunaweza kubaki wachache, lakini it won't be in vain! Tuendelee kupigana.. tuendelee kutafuta taarifa na zaidi kuzifanyia kazi kwa njia zote Mungu alizotujalia. Tanzania yetu nzuri lazima tuikomboe kutoka kwa haya majizi. SHAME ON THEM!!

Kitu gani inaumiza kichwa? .......Unakereka na haya? Manini hayo? Umeelewa aliyeanzisha hii thread anaamaanisha nini? Mimi sijaelewa. Na nimeona unatumia "hii" & "haya", inaelekea unaweza kunisaidia. Tafadhali, kwa lugha rahisi nini kinazungumziwa hapa?
 
tusiwaite wengine waongo kamasisi wenyewe si wa kweli!

Wewe umeuliza hadithi hii inatufundisha nini? Sasa unategemea upate mawazo yaliyo sawa na yale unayoyafikiria wewe? Wacha cheche za fikra zichukue nafasi yake.

Nimesoma na hayo niliyotoa ndiyo mawazo yangu kutoka na hadithi taaamu uliyotusimulia.
 
Well, angalau utakuwa umejifunza kitu. Na miye nilikuwa naonesha upande wa pili wa kitu kile kile.
 
Tusiwe waongo na tusiamini maneno yasiyo na uhakika

Nadhani unatakiwa kusema usiwe muongo na usiamini yasio ya uhakika (nafsi yako) . Hii inasaidia wewe kutojumuisha watu wenye upeo tofauti na wewe na wenye kuamini katika uongo na maneno yasio ya kweli. Mfano, mafisadi wanavyolazimisha sisi wananchi kuamini kile ambacho wao wanajua kuwa ni uongo.
 
mhh...
mimi mgeni naomba msaada, nataka nifanye kazi nipate hela nitume nyumbani
mimi najua watu uk ndio wanaoza. kumbe watu wanaoza hata TZ...

Hii sikuijua kumbe ka inzi kako Tz? Mie nilidhani ughaibuni?!
 
Nadhani unatakiwa kusema usiwe muongo na usiamini yasio ya uhakika (nafsi yako) . Hii inasaidia wewe kutojumuisha watu wenye upeo tofauti na wewe na wenye kuamini katika uongo na maneno yasio ya kweli. Mfano, mafisadi wanavyolazimisha sisi wananchi kuamini kile ambacho wao wanajua kuwa ni uongo.

Sentensi zangu hazina walakini hata kidogo kwani haiwezekani niseme nisiwe muongo at the same time nihalalishe wengine wawe waongo. Katu sentensi yeyote inayotanguliwa na maneno niliyoyaweka hayawezi kundelea kwa kuhalalisha niliyoyakataa.
haihitaji kwenda shule kuelewa dhana nyepesi kama hii ambayo ndiyo nguzo muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu.
tusiwe waongo na tusiendelee kutetea uongo na kuamini maneno yasiyo na uhakika. Hopefully nimeeleweka. Sihitaji mjadala wala malumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
[/QUOT
Usitujumuishe wote,wewe vipi? Au umeshikwa pabaya,mwaka huu ni wenu!!
 
Nadhani Kijunjwe yuko sahihi. Alitegemea ungesema "Nimejifunza kuwa usiwe muongo na usiamini yasio ya uhakika". Maana ya hii sentensi ni kuwa, aliejifunza hivyo ni wewe mwenyewe Pundamilia07 na sio sisi/wengine kama unavyotaka kumaanisha.

Anyway, kujifunza ni kujifunza tu. Iwe wewe mwenyewe au na wengine wowote.
 
Nadhani unatakiwa kusema usiwe muongo na usiamini yasio ya uhakika (nafsi yako) . Hii inasaidia wewe kutojumuisha watu wenye upeo tofauti na wewe na wenye kuamini katika uongo na maneno yasio ya kweli. Mfano, mafisadi wanavyolazimisha sisi wananchi kuamini kile ambacho wao wanajua kuwa ni uongo.

Thanks Kijunjwe..
 
Sentensi zangu hazina walakini hata kidogo kwani haiwezekani niseme nisiwe muongo at the same time nihalalishe wengine wawe waongo. Katu sentensi yeyote inayotanguliwa na maneno niliyoyaweka hayawezi kundelea kwa kuhalalisha niliyoyakataa.
haihitaji kwenda shule kuelewa dhana nyepesi kama hii ambayo ndiyo nguzo muhimu katika maisha ya kila siku ya binadamu.
tusiwe waongo na tusiendelee kutetea uongo na kuamini maneno yasiyo na uhakika. Hopefully nimeeleweka. Sihitaji mjadala wala malumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu.
[/QUOT]
Usitujumuishe wote,wewe vipi? Au umeshikwa pabaya,mwaka huu ni wenu!!

Nyamizi,

Kuna viumbe wengine ambao Mungu kawapa Uhai, ukiwaambia wameshikwa pabaya basi wanafikiri wameshikwa katikati ya miguu na wanaanza kulialia kama watoto waliokuzwa na bibi kuwa "umenitukana".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom