StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 6,674
- 7,970
Kwani wakiamua kuendelea kumuweka Lissu ndani hadi maybe 2030 bila kesi kuendelea wanashindwa?2030 haitofika maana hamna kesi pale, mashahidi wamekauka, labda shahid watokee mbinguni safari hii😂