A falling lizard thinks it’s flying until the ground reminds it

Hakuna kitu duniani kinauma kama kumuona inayemuombea mabaya anashamiri (ananawiri) siku baada ya siku. Aisee, kusema ukweli Samia anawatesa watu kisaikolojia Hadi Raha🤣🤣🤣🤣

Sasa hivi wanakuja na uchawi kwa lugha ya Kiingereza 🤣🤣🤣 baada ya kuona mauchawi yao yoooote waliyoyanuia kwa lugha za makabila yao yamedunda mbele Jemedari, Dr Samia Suluhu Hassan 💪💪💪
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho...

Huyu Samia anatoboa 2030 bila shida...

Lile kundi la wauwaji ni la Kikwete...

Na lina muunga mkono Samia...

Sasa hivi wamepewa kila kitu, gesi, bandari,

Sababu iliyofanya Magufuli aondolewe huyu Samia hana...

Kwahiyo tusidanganyane kwamba kuna lolote litamkuta...
Ningeshangaa kama JK asingetajwa hapa. Huyo mwamba maisha yake yananyooka sababu ya mamia ya Dua mbaya na mamia ya mauongo ya haters wake. Mungu anageuza uadui wa haters wake kuwa Dua njema inayomneemesha.
 
Sawa.
 
Mjusi unaotoka kwenye Paa kuanguka au kudondoka sakafuni kuna muda wakati ukiwa angani udhani una paa kama ndege Mpaka pale Tumbo likipiga sakafu kukumbusha kwamba we ni Mjusi

Mjusi tuliyenaye anasahau kwamba nchi si yake na utawala ni kwa muda tu, watu zaidi ya 12,000 tokea aingie madarakani wamepotea na kuuwawa huku Wengine wakibaki na alama ya maumivu mioyoni mwao!

Jaman Mjusi kaanza hata Kudhan yeye ni Kenge Anaweza Tafuna vijusi Jusi vinavyomsogelea na kusogelea yai lake liuzalo kobazi kule centre !

Lissu kukaa gerezani Mwaka usidhani itaisha hivi hivi na mbaya zaidi amlaumu aliyemshauri ujinga huu

Hatutoboi 2030 bila kuita mtu kati KAITABA KUU

Kuna taarifa inatisha anzeni kufunika vinywaji vyenu, mkienda kuzini mahotelini mwende na taulo zenu kabisa yatawakuta ya Mnyakyusa

Yaan
“A falling lizard thinks it’s flying until the ground reminds it”

Chukua Hiyo

Britanicca
20260414_093451.jpg

Nipo hapa kuwakumbusha!
Lest we forget!
 
Mzee wa morphine
 
Ramli chonganishi hizi

Mjusi, mjusi, mjusi wa nyoko

Ficha upumbavu wako hata mara moja kwa siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom