CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Haina mbaya...............wapi na saa ngapi mamii................
mida ya jioni after working hours! ngoja niPrime Minister. . .
Haina mbaya...............wapi na saa ngapi mamii................
Andika Profoma wangu.....................mbona unaenda fasta
mida ya jioni after working hours! ngoja niPrime Minister. . .
wivu sina ila roho yaniuma!
Yawezekana nikawa domo zege kutokana na kua sikuwah kua na mwanamke mwanzo hii inatokanb na maadili niliyolelewa na kujipangia 7ikutaka kujihusisha na mambo hayo mpaka muda wa kuoa utakapofika.ila sera nilishaanza ku2ma kwa pm hujajibu zaidi sms 5Kwani we domo zege? hadi sasa unapiga blah blah hujamwaga sera zaidi ya kuniambia utajinyonga..............tiririka dogo
Usiumie roho dada vipi shem hajambo?
shem wako hajambo na katoka hapa saiv, me nipo zangu nimepewa bed rest mwezi mzima yan acha tu. afu ndo napata habari my huz C6 kenda ku-meet na kimwana,yan nahisi kama najifungua kabla ya wakatî.
Kikazi zaidi ama kichama?Elizabeth Dominic hebu nambie inakuwaje hapa.......
Elizabeth Dominic hebu nambie inakuwaje hapa.......
Tsup Young Master....................kina nani hao?
Am cool...There is no need for explanation for the things that no one will believe any explanation...BTW how is u?
Mi mzima....................sijui mwenzangu.........afu ni PM hizo explanation labda nitaamini
Am cool like a fish in a pool.
Nimefurahi kusikia hivyo................................