MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,765
- 71,801
Jana nimeambiwa na maza kwamba walienda hadi kwa Makonda na wanataka wakianzishe tena,Kwani wamefungiwa tena?
Naona unataka kushuhudia hili Horror Movie litakuwaje![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakunyumba na me nataka awe shemeji yangu
Nipo town kaka, nimeingia jana Usiku.Mkuu ushaingia mjini? Unajua hio rate yako ya kukwea mwewe 1000s miles inazidi hata akina sisi kufika posta!
Ha ha ha ha mwenye Buckets nae si jirani yenu pia? Najua walifungiwa, wakapigwa zengwe lingine la risiti. BTW kuna joints nyingi around there why Buckets only?Jana nimeambiwa na maza kwamba walienda hadi kwa Makonda na wanataka wakianzishe tena,
Mimi nikasema vyema kabisaa, wakinukishe tena kwasababu yale Makelele yanaweza kumuua jirani yangu Mama Mutafungwa.
Ha ha ha ha mwenye Buckets nae si jirani yenu pia? Najua walifungiwa, wakapigwa zengwe lingine la risiti. BTW kuna joints nyingi around there why Buckets only?
Nilisoma barua ya kufungiwa kwao pamaoja na kelele sababu nyingine ilioandikwa ni 'machangudoa' seriously machamgudoa wa barabarani wanamuhusu nini mwenye Bar ?
Wee. Mke wa mtu huyo. Labda kama shem akimuacha utamuoa wewe hapo sawa.shem si mnamwambia mko na rafiki yenu wa kiume...au?
Kwani huyo shem nae kama mimi haelewi marafiki wa kiume?Wee. Mke wa mtu huyo. Labda kama shem akimuacha utamuoa wewe hapo sawa.
Anakula masiha na nyama ya mdudu nusu kilo na ndizi mbili, kisha anasema hapo yupo na wana, wanalamba maisha au wanakula maisha? NA huto tu bia twa watoto wa chuo? Na viji Euro mezani?
Jacki's, Didi's, Samaki Samaki hawana kelele au?Shida ni Perpetual Nuisance kwenye mtaa wetu!
Kama yule mama Mtafungwa jirani pale alisema anapata shida hadi mchana watu wanapiga makelele tu!
Hahahahhh rrondo naomba uwe shemeji yanguNisaidie basi kuniombea nafasi. Hata ya siku moja naahidi sitamuangusha.
Jacki's, Didi's, Samaki Samaki hawana kelele au?
Hahhahaha yaan rrondo nikikufikilia nacheka sanaNaona unataka kushuhudia hili Horror Movie litakuwaje!
Siku ukija kuniona hutaamini....hata kuongea siwezi.Hahhahaha yaan rrondo nikikufikilia nacheka sana
Rafiki wa kiume sio kwa mkolomije wangushem si mnamwambia mko na rafiki yenu wa kiume...au?
Ndio mana nakupenda na uzee huu naachika atanitaka nani shunie mmWee. Mke wa mtu huyo. Labda kama shem akimuacha utamuoa wewe hapo sawa.
mtu kapiga picha alafu kaweka na hela mezani mi naonaga kama dizaini flani ya ulimbukeni hivi.hela zenyewe unakuta zakukaa kwenye wallet sasa sjui kulikuwa kuna haja gani ya kuziweka mezani.eniwei ni mambo ya vijana.