Habari wakuu,natafuta kazi/kujitolea kwenye fani ya uhasibu,ukaguzi wa mahesabu au masuala ya kodi.Napatikana dsm.Nina Adv.diploma ya uhasibu toka IFM na CPA(T).
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Uko tayari kwa interview hapa hapa?Habari wakuu,natafuta kazi/kujitolea kwenye fani ya uhasibu,ukaguzi wa mahesabu au masuala ya kodi.Napatikana dsm.Nina Adv.diploma ya uhasibu toka IFM na CPA(T).
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu ingia kwenye website ya NBAA download Audit firms zote then chagua utazoenda kuomba nafasi.Nenda physically kwenye hizo firms watakuchukua.Audit Firm nyingi kama ni CPA holder na hau complicate mshahara hawakuachi.
Pia pale NBAA unaweza kuwaachia CV yako wanasaidia kukutafutia kazi.
Uko tayari kwa interview hapa hapa?
Nipo sawa mkuu
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
what do you understand by ALCO?
Asset-Liability Committee.Mkuu kama upo serious let me know ila hii on-line interview tutaumbuana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ratio analysis!!! hahaha!!!
Tatizo nikijibu ntaambiwa nimegoogle
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
MTAZAMO, Kama haujali unaweza kunisaidia kumpa jamaa mazoezi ya interview.
Kwa hiyo atuendelei?
Hatuendelei,nashukuru kwa moyo wako.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Good. Wish you all the best, kazi utapata tu ni swala la muda kidogo.Hatuendelei,nashukuru kwa moyo wako.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mkuu Sangarara unataka watu waumbike? kama una ubavo leta nondo za oil and gas au Finance in general zilete tuone ubavu wako