A CPA holder is looking for a job/volunteer

Mugaga

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
410
197
Habari wakuu,natafuta kazi/kujitolea kwenye fani ya uhasibu,ukaguzi wa mahesabu au masuala ya kodi.Napatikana dsm.Nina Adv.diploma ya uhasibu toka IFM na CPA(T).

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu ingia kwenye website ya NBAA download Audit firms zote then chagua utazoenda kuomba nafasi.Nenda physically kwenye hizo firms watakuchukua.Audit Firm nyingi kama ni CPA holder na hau complicate mshahara hawakuachi.

Pia pale NBAA unaweza kuwaachia CV yako wanasaidia kukutafutia kazi.
 
Ahsante kaka,nimejaribu kufanya hivyo kwa kuomba kwenye auditing firms ambazo zimesajiliwa na NBAA ila bado nasubiri majibu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Asset-Liability Committee.Mkuu kama upo serious let me know ila hii on-line interview tutaumbuana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Usijali we hata ukitaka kugoogle google tu, lakini naomba niendelee kukupitisha kwenye tanuru.
You, being a CPA, you are standing chances to hold a senior position in Accounting and Finance Department in a Banking institution. what role do you anticipate to play in the ALCO of the banking institution.
 
MTAZAMO, Kama haujali unaweza kunisaidia kumpa jamaa mazoezi ya interview.

Mkuu wangu sitaki kumpasua kichwa kama ulivyomkimbiza wewe,swali langu ni dogo sana,

A father is 28 years older than the son.In 5 years the father's age will be 7 years more than twice that of the son.

Find their present age.
 
Mkuu Sangarara unataka watu waumbike? kama una ubavo leta nondo za oil and gas au Finance in general zilete tuone ubavu wako

Sawa mkuu, tuendelee.
what hedging tool would you advice for a US Petrolium company based in Nigeria contracted to supply crude oil to an electric generating company in Minesota in the US?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom