A CPA holder is looking for a job/volunteer

A CPA holder is looking for a job/volunteer

Mkuu - Is there political instability in Nigeria?

Then to the point at hand.
What risk are you hedging there? with your netting and matching

Mkuu- inamaana hayo mabomu na kutekana kunako endelea kila Siku huko Nigeria we uelewi chochote?
 
Ahsanteni wakuu Sangarara na MTAZAMO.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
hongera man kupata CPA,NATIONAL AUDIT wametoa kazi nyingi,apply huko pia,sema hawa jamaa huwa wanawapa board waandae interview....wlishatupaga nondo ya executorship imesimamia kucha balaa,ujiandae sana man!
 
Hivi Adv diploma ina tofauti gani na higher diploma?

Naomba ufafanuzi kwa hizi terms mbili.
Habari wakuu,natafuta kazi/kujitolea kwenye fani ya uhasibu,ukaguzi wa mahesabu au masuala ya kodi.Napatikana dsm.Nina Adv.diploma ya uhasibu toka IFM na CPA(T).

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
hongera man kupata CPA,NATIONAL AUDIT wametoa kazi nyingi,apply huko pia,sema hawa jamaa huwa wanawapa board waandae interview....wlishatupaga nondo ya executorship imesimamia kucha balaa,ujiandae sana man!

Ahsante mkuu,nimeziona.
 
hongera man kupata CPA,NATIONAL AUDIT wametoa kazi nyingi,apply huko pia,sema hawa jamaa huwa wanawapa board waandae interview....wlishatupaga nondo ya executorship imesimamia kucha balaa,ujiandae sana man!

Sasa kama sio kuzingua watu ni nini? National Audit na Executorship wapi na wapi?
 
Ukitaka kuwapatia bodi na interview zao magumashi

Kasome maswali ya multiple choices on IFRS's... Mtihani wa TPDC wote walinyofoa kule.

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Sasa kama sio kuzingua watu ni nini? National Audit na Executorship wapi na wapi?
Haujaelewa...NAO si wanaajiri wahasibu?...wanaopewa kazi ya kuwafanyia interview ni watu wa NBAA chini ya utumishi!....tulishafanyiwa interview na hawa jamaa wakaangusha swali la executorship....ndo point yangu labda hukuelewa!
 
Back
Top Bottom