A CPA holder is looking for a job/volunteer

Sawa mkuu, tuendelee.
what hedging tool would you advice for a US Petrolium company based in Nigeria contracted to supply crude oil to an electric generating company in Minesota in the US?

Hapo weka Mtwara, Tanzania, nitajibu
 
Fukara, Jibu swali, ijumaa leo watu tunataka kuwahi home.
Dah mkuu hata kama kazi ni ngumu kupatikana.. nahisi unamnyanyasa live. not fair kabisa!!!! kama ni interview na upo serious tumieni PM sio hapa! ni mawazo yangu lakini!!!
 
chopeko jina lako limenikumbusha hadithi ya Chopeko na mnofu enzi zilee primary school, bora umenitetea kaka jamaa hata huruma hawana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
chopeko jina lako limenikumbusha hadithi ya Chopeko na mnofu enzi zilee primary school, bora umenitetea kaka jamaa hata huruma hawana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
ucjal tupo pamoja mkuu..cha msingi stay focused u will one day get it!!!
 
Sawa mkuu, tuendelee.
what hedging tool would you advice for a US Petrolium company based in Nigeria contracted to supply crude oil to an electric generating company in Minesota in the US?

triangular arbitrage
 
Sawa mkuu, tuendelee.
what hedging tool would you advice for a US Petrolium company based in Nigeria contracted to supply crude oil to an electric generating company in Minesota in the US?

because of the political instability within Nigeria recently I would advice the US company based in Nigeria to use Netting & Matching techniques so as to cab the situation and to serves their currency against risk.
 
Mkuu wangu sitaki kumpasua kichwa kama ulivyomkimbiza wewe,swali langu ni dogo sana,

A father is 28 years older than the son.In 5 years the father's age will be 7 years more than twice that of the son.

Find their present age.

Mbona hizi ni hesabu za primary mkuu.aacha kutudhalilisha wahasibu
 
Mkuu wangu sitaki kumpasua kichwa kama ulivyomkimbiza wewe,swali langu ni dogo sana,

A father is 28 years older than the son.In 5 years the father's age will be 7 years more than twice that of the son.

Find their present age.

Present age: father 44 son 16.after 5 years father'age will be 49 son 21.inamaana 21×2 plus 7=49.
 
chopeko jina lako limenikumbusha hadithi ya Chopeko na mnofu enzi zilee primary school, bora umenitetea kaka jamaa hata huruma hawana.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Na hilo ndio tatizo lingine kubwa ambalo watanzania wanafanyiana btn them badala ya kuwafundisha kazi watanzania wenzao wao wanatafutiana visababu vya kuwafanya wajione average and they cant do anything, plse tanzania saidianeni, hayo maswali yapo na majibu yapo pia yakihitajika wakati wa kazi una google as long as unajua application yake which i am sure huyu bwana anajua ndio maana CPA ikaisha
 
because of the political instability within Nigeria recently I would advice the US company based in Nigeria to use Netting & Matching techniques so as to cab the situation and to serves their currency against risk.

Mkuu - Is there political instability in Nigeria?

Then to the point at hand.
What risk are you hedging there? with your netting and matching
 
Back
Top Bottom