A CPA holder is looking for a job/volunteer

Hivi Adv diploma ina tofauti gani na higher diploma?

Naomba ufafanuzi kwa hizi terms mbili.
Advance diploma unasoma miaka mitatu,its equivalent to degree,higher dipoloma ni miaka miwili then unaweza transfer mwaka wa tatu ukahamia chuo kingine ukamalizia mwaka wa tatu huko,hii ina apply sana america thou IFM ipo kwenye prospectus lakini sijaona inatumika tangu ianze mwaka 2008.
 
Mkuu wangu sitaki kumpasua kichwa kama ulivyomkimbiza wewe,swali langu ni dogo sana,

A father is 28 years older than the son.In 5 years the father's age will be 7 years more than twice that of the son.

Find their present age.

Father 44, Son 16..
 
Mkuu ilikuaje ukadivert...umeridhika na kazi uliyonayo???...seems CPA aint soln.
I am now working as an Accountant in the same organization for 2 years now . Thanks to CPA.
 
Back
Top Bottom