A call for Kikwete to resign his presidency

A call for Kikwete to resign his presidency

Hili ni swali zuri sana Peacekwawote.

Baadhi ya majibu yake yako kwenye thread moja ilianzishwa na Rev hapa kwenye jukwaa la siasa.

Wewe MWK lini utajifunza kujibu maswali.Mbona swali liko clear tu hapo kwa nini umrudishe mtu kwenye post nyingine? Jibu swali kama huna jibu sema hauna jibu.
 
Wewe MWK lini utajifunza kujibu maswali.Mbona swali liko clear tu hapo kwa nini umrudishe mtu kwenye post nyingine? Jibu swali kama huna jibu sema hauna jibu.

Sidhani kama aliyeandika hapa aliniuliza mimi swali. Je umefikiria hilo?
 
Nakuomba kwa taadhima zote, Mwafrika wa Kike, unipe jibu kutoka moyoni mwako, kwa mapenzi yako ya kweli kwa Tanzania. Ndugu yangu unajua ninavyoheshimu ushupavu na ukakamavu na umahiri wa kichwa chako. Nakuomba ukusanye nguvu kunijibu hilo swali kwa kiapo juu ya nchi yako na bibi yako -(kama Wamarekani wanavyo apia!)


Mama Malecela yeye kwa mtizamo wake anaona Kikwete amefanya mengi kwenye kupigana na ufisadi - kuwatosa Lowasa na Mramba. Mimi naona kuwa kikwete ameshindwa kufanya kazi kwa hiyo aresign. - Hii pia ni mitizamo.

Siwezi kuhukumu mtizamo wa Mama Malecela, kwa sasa ninahukumu vitendo vyake ambavyo so far niko very impressed.

Mayiiiiiiii weee! damn ndio maana I Love JF maana naona mtu mziam ameshikwa pabaya sana, sawa sawa mkuu Mwafrika Wa Kike tupo ukurasa mmoja hapa! Kumbe jamaa anazimia na wewe lakini analeta ubishi tu wa kitoto!
 
Kikwete ameshindwa kufanya kazi yake kama raisi wa jamhuri ya Tanzania na amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa Tanzania. Katika hili, nini tena kinaweza kusemwa juu yake?

Swali limetoka hapa pamoja na kichwa cha habari cha thread uliyoanzisha. Ndio maana kuna waliohitaji kujua unadhani labda nani anafaa.

Sasa ukianza kuwarudisha watu wakasome thread za Rev.Kishoka etc unakuwa unakimbia kujibu swali ambalo jibu lake halitakiwi kuwa gumu kwako maana unatarajiwa kuwa umeshatafakari sana kabla ya kumtaka Rais ajiuzuru.
 
Swali limetoka hapa pamoja na kichwa cha habari cha thread uliyoanzisha. Ndio maana kuna waliohitaji kujua unadhani labda nani anafaa. Sasa ukianza kuwarudisha watu wakasome thread za Rev.Kishoka etc unakuwa unakimbia kujibu swali ambalo jibu lake halitakiwi kuwa gumu kwako maana unatarajiwa kuwa umeshatafakari sana kabla ya kumtaka Rais ajiuzuru.

Umejuaje nia ya muuliza swali? Muuliza swali hakutaja jina langu na kuna wengi wamechangia, hii conclusion umeitoa wapi?
 
wewe ndio ulioanzisha thread hii. Anyway sasa naomba jibu kutoka kwako, nauliza swali hilohilo upya.

Unaweza kuanzisha thread ya kutaka hili nikakujibu.

BTW, nimekuta ile thread yako ya kuniuliza kuhusu urefu wa mwezi imefungwa. Are u still interested kwenye hilo pia?
 
Unaweza kuanzisha thread ya kutaka hili nikakujibu.

BTW, nimekuta ile thread yako ya kuniuliza kuhusu urefu wa mwezi imefungwa. Are u still interested kwenye hilo pia?

Haya endelea kusubiri thread ili utoe majibu ya maswali ya thread uliyoanzisha huku ukitaka kujibu maswali ya thread iliyofungwa.
 
Haya endelea kusubiri thread ili utoe majibu ya maswali ya thread uliyoanzisha huku ukitaka kujibu maswali ya thread iliyofungwa.

Haya mie nipo "The Confessions of a Political and Economic Hitman". Kazi ipo.
 
Kusubiri Kikwete ajiuzulu ni ndoto. Dawa ni kwa wananchi kumng'oa madarakani wakati wa uchaguzi ujao.
 
Kusubiri Kikwete ajiuzulu ni ndoto. Dawa ni kwa wananchi kumng'oa madarakani wakati wa uchaguzi ujao.

Hakuna anaesubiri Kikwete ajiuzuru. Mwito wa kujiuzulu ni political message of public disapproval.

Usipoanza mapema kuleta huo ujumbe wa kushindwa kwake kazi, huwezi kumng'oa kwenye uchaguzi.

Hiyo ndio ilikuwa message ya hii thread.
 
Kusubiri Kikwete ajiuzulu ni ndoto. Dawa ni kwa wananchi kumng'oa madarakani wakati wa uchaguzi ujao.

Mkulu Kichuguu,

Kwa speed ambayo Kikwete na wenzake wanakwapua, kufuja na kuuza mali za nchi. Miaka mitatu zaidi itakuwa ni na athari hadi kwa vitukuu vyetu badala ya wajukuu au watoto wetu.
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda Tanzania, nyie ni kelele za mlangoni tu hapa na Kikwete ataendelea kuwa raisi huku akijiandaa kushinda ushindi wa kishindo kwa pesa za richmonduli, buzwagi, na BoT.
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda Tanzania, nyie ni kelele za mlangoni tu hapa na Kikwete ataendelea kuwa raisi huku akijiandaa kushinda ushindi wa kishindo kwa pesa za richmonduli, buzwagi, na BoT.

Kwa hali hii na kwa muelekeo huu na kwa maamuzi haya ya sisi watanzania kukubali kupewa kifuko cha chumvi, kikombe cha pombe, au kofia na tisheti ya kijani ili tupigie kura chama kinachofilisi na kuidunisha nchi. Na kwa vile wizi wa mali ya watanzania unaendelea kwa kasi ile ile ya awamu ya tatu, na kwa vile bosi wa sasa wa BoT ni miongoni mwa wale waliojua kila kilichotokea huko na hakukaa kimya,

kwa yote haya na namna Kikwete anavyoonekana kutojali kabisa au kuhofia kama wananchi watafuta kazi kibarua chake au wabunge wanaweza kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye, basi inaonekana kabisa maneno yako hapa yanabeba ukweli ambao ni mchungu ila wenye ulazima wa kuumeza.

Hili ni chungu kulifahamu na kulikubali ila ninafuraha kuwa nimekuwa mmoja wa waliojaribu kwa kila hali na mali kumshauri Kikwete kufanya the right thing hapa kwenye mtandao bora na maarufu kabisa Tanzania - JF.

MUNGU Ibariki Tanzania na wananchi wake, MUNGU ibariki na kuisaidia afrika iamke na kujua kuwa wakati wa kutojali maisha na uhai wa raia zake umepita.

Amen.
 
Kwanini nyinyi msijiuzulu kumpigia kura
 
Ukishasujudia wamarekani wataendesha hii serikali kama yao.
Hata maaskofu waliokuja na hili chaguo la Mungu wao nao wametubu na kuona
Maisha si bora kwa kila mtanzania.

Wamarekani waendeshe nchi mara ya pili??. Au ndugu yangu huoni sera zinazoletwa hapo ni copy and paste ya kutoka huko. Mwenye macho haambiwi Tazama. Hii nchi inapelekeshwa kama gari bovu na mkono ulio nyuma ya pazia. Viongozi hapo ni vibaraka wa wanaowapa kichwa na sio wananchi wanaowapa kura.

Ndio maana ukigusa madini utaona nani watakuwa wa kwanza kuja hapo bongo.
 
Back
Top Bottom