A Call For A Palace Coup: CHADEMA

A Call For A Palace Coup: CHADEMA

kama chadema ni mbaya kwanini waliyowahi kuktumikia chama hicho wanapata uteuzi????
 
Totally nonsense and garbage
Serikali ya Theresa may imeumbwa na masd resignation what problem is she having sembuse hawa wanaonunuliwa?
 
Hakuna haja ya kumwaga damu, hilo sio shauri zuri, Chadema wawe na viongozi amabao biashara yao kubwa ni ujenzi wa chama na siasa. Hawaogopi TRA wala kutolewa kwenye majumba.

Utajengaje chama katika Mazingira Haya ya sasa ambayo hata mikutano ya ndani imepigwa marufuku?
Uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni umezuiwa, vyombo vya Habari vimepigwa marufuku kuripoti Habari za vyama vya upinzani.

Katika Mazingira Kama hayo njia Pekee iliyosalia ni ya kutumia mabavu tu.
 
Let the deads bury their deads the slogan says
 
Unashanga Mbowe kushindwa kuongoza chama ila hushangai Magufuli kushindwa kuongoza nchi?....Test how stupid are you.

Mada inamhusu Mbowe.

Magufuli mfungulie mada ingine umjadili huko.
 
Kila chama na sera zake mkuu ndio maana hata ccm wameweka raisi ndio mwenyekiti by default hakuna mwingine atakayethubutu kuomba uenyekiti,ikifika kipindi muhafaka watagombea wengine ngoja atengeneze makamanda kwanza,si unaona mamluki kibao asije mkabidhi chama puppet akaikuiza na kukiua kwa njaa.
King Kong III huko umbali na ukweli. Najua sana concern yako ambayo nadhani ina ukweli. Ila mimi ningekuwa Mbowe siyo kujiuzulu tu, ila ningewahamasisha wapinzani wenzangu wote tufute vyama vyetu na tujiuzu siasa. Kwanini? Hatua kama hii haitakuwa na outcome nzuri kwa CCM kama wengi wanavyofikiri.
 
Hivi huyo Mbowe ni mwenyekiti wa maisha huko CHADEMA ?

Kwa nini uwepo wa Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti CHADEMA unawakwaza Sana? Kulikoni

Kama kukaa Sana kwenye hiyo nafasi ni dhambi, msingelazimisha Lipumba aendelee kubaki ili Hali alishajiuzuru.

Unafiki huu ndo unaligharimu Taifa letu
 
katika wakuu walioteuliwa ni wote wana hivyo vigezo?
Kwangu mimi binafsi sioni hata mmoja mwenye hivyo vigezo. Naona wengi ni vijana wajanja waliomsoma na kumjua vizuri sana Magufuli. i.e. wanajua wafanye usanii gani unaomvutia ili awape vyeo.
 
Nyani Ngabu if you were right by me I could have for what you prefer to drink.

CHADEMA wanayo matatizo lakini kiburi chao ndio adui yao mkuu. Wenye hekima na busara wameshamjua mchawi ni nani.

Bendera hufuata upepo ndio hawa ambao hawaishiwi matusi humu jukwaani. Their top guy enjoys the benefit of borrowed time.
 
Watz waache unafiki? Kabla hujatutusi watz wote unapaswa tambua hatufanani kimawazo, fikra, maamuzi etc.
Sasa baki hapo ukiwaza ulitakalo lifanywe na watu wote.
Akili fupi hizi ndio hunifanya niwachukie sana wapinzani wa bongo.

Vyovyote Utakavyo tafsiri, lakini Ndio huo.

Watanzania tu watu wa ajabu Sana,tumejawa na ubinafsi na unafiki tele.
 
Rugaijamu pole. Umeamua kujikatia tamaa bure. Umeishiwa na kufika mwisho, na hicho unachoona ni tatizo, siyo kwa hiyo hata huo ufumbuzi unopendekeza, siyo.

Hoja yako kuwa "mkazi mkuu wa magogoni" alivyoamua kutumia mabavu kuiendesha nchi awamu hii, lakini pia muitikio wa Wananchi kwenye Hali iliyopo sasa.', ndio fursa ya kufanya Siasa kwa wabunifu [stock in business] kama viongozi wa chama chako wangekuwa wabunifu. Kwa kuwa mnaamini njia moja tu ta kufanyia siasa (maandamano/vurigu) mkubali ama kuishia hapa mlipo, au kubadilisha uongozi na makakati wa kufanya Siasa katka mazingia mapya ya siasa na utawala nchini Tanzania.
 
Utajengaje chama katika Mazingira Haya ya sasa ambayo hata mikutano ya ndani imepigwa marufuku?
Uhuru wa kukusanyika na kutoa maoni umezuiwa, vyombo vya Habari vimepigwa marufuku kuripoti Habari za vyama vya upinzani.

Katika Mazingira Kama hayo njia Pekee iliyosalia ni ya kutumia mabavu tu.
Soma historia Uhuru w Tanzania ama nchi ambazo hazikumwaga damu , walipataje uhuru, n walifanya harakati vipi.

Where there is will there is a way
 
kama kuna watu wanaopaswa kupewa pole ni hwa ma ccm... hawajiulizi kwanini hadi mtu anunuliwe kutoka upinzani na kupewa cheo wakati nyinyi mpo na mpo mstari wa mbele kwenye makampeni na kutetea chama??????
 
Back
Top Bottom