In fact, the party is facing a lot of challenges ahead of 2020 elections. It is high time to change the leadership before things become too worse..I think Mbowe should announce that he will no seek re election as party chairman.
..The party needs ppl who are more inspiring and dynamic at the top positions than who are currently there.
Nyani Ngabu
Bila shaka unafahamu karibu viongozi wote wa juu wa CDM wana kesi inawakabili mahakamani ikihusishwa na mauaji ya binti yulee.
Ukishajua kinachotafutwa hapo mengine huitaji kusimuliwa.
Hebu jielekeze kwenye hoja ambayo inamtaka mbowe ajiuzulu kupisha damu mpya..ukiwakutanisha ktk majukwaa ya siasa sioni kama kuna anayemzidi mwenzake.
..kuna kipindi ilikuwa unaona ccm wamewazidi wenzao kwa hoja za kisomi na zenye upeo. sasa hivi ile GAP haiko tena.
..kilichobadilika sasa ni CCM kutumia vyombo vya DOLA. Wenzao wakiwa challenge kwa hoja za kisiasa CCM wanatumia vyombo vya dola kuwadhibiti.
..CCM iko juu ya sheria.
..I think Mbowe should announce that he will no seek re election as party chairman.
..The party needs ppl who are more inspiring and dynamic at the top positions than who are currently there.
Chief, why do you often forget that politic is worse than prostitute?
Ngosha bwana unatukaribisha kwa kiswahili matatizo yako unatueleza kwa kingereza ?
Kama ni muunganisha dot kumbumbuka aliyosema EL baada ya kutoka ikulu
Hakuna aliyekanusha hadi leo
Business as usual
In fact, the party is facing a lot of challenges ahead of 2020 elections. It is high time to change the leadership before things become too worse
They are building the Nation Chief......... Ironically.Most of our leaders are unloyal/non patriotic gold diggers. Those who have genuine intent to serve the mass and drive economic prosperity forward and promote the social and economic status of the majority are always seen as betrayers.
I do not see Tanzania going anywhere with these kind of hypocrite leaders, both the ruling and the opposition. All they care about is their fatty malnutritioned bellies, mofos.
Hapa mkuu kwa kweli sina haja ya kutoa povu umenena ukweliKaribuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Kazi ya viongozi kutafuta suluhisho la matatizo.
Sasa kama CHADEMA ina viongozi ambao hawajui namna ya kutatua matatizo yanayo wakumba kwa sasa ni dhairi hao sio viongozi wazuri.
Kiongozi anapoishia na yeye kuwa mlalamikaji tu na kuaminisha wafuasi wake kwamba hakuna njia ya kujikwamua bali kusubiria huruma ya mshindani wake yeye hawafai wafuasi wake.
Wakati wa kudai uhuru watu wengi walifunguliwa kesi lakini hatimae walifanikiwa kutuletea uhuru.
Mikutano ya kisiasa ilikumbana na vikwazo kuliko vya sasa. Maana sasa angalau wabunge wanaruhusiwa kufanya mikutano kwenye majimbo yao.
Viongozi wasirudi kwetu kutuuliza sasa wafanye nini baada ya sisi kuwahoji inakuwaje mambo haya yanatokea. Hiyo ni kazi yao (kutafuta majibu).
#MboweMustGo
Hivi huko wanakokimbilia huwa pako salama ??? Hakuna matatizo ?Karibuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Ili mtu awe mkuu wa wilaya anahitaji kuwa na vigezo gani?Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sidhani kama Chadema itakuwa na mbunge. Sasa hivi wamebakia kujifariji na wameishiwa kila mbinu. Sijui hata uongozi wa juu unasubiri nini kuvunja chama rasmi. Lakini hilo sidhani kama ni tatizo kubwa kuliko aina ya uteuzi unaofanywa na rais wetu wa sasa. Nashangaa jinsi vijana wapiga dili wavyopewa ukuu wa Wilaya na Mikoa. Sina la kusema ninavyoona machangudoa wakiukwaa ukuu wa wilaya. Hakika watanzania tusipojua adui yetu ni wanasiasa wote bila kujali wanatoka chama gani basi hali yetu itazidi kuwa mbaya.