A Call For A Palace Coup: CHADEMA

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,616
All is not well within CHADEMA.

There is a crisis. A major one, at that. A leadership crisis.

This crisis, in my opinion, has reached critical mass and something/ someone's gotta give before it's way too late.

A fish rots from the head down. Now it's time for CHADEMA to cut the head off in order to salvage whatever is left of it.

So I'm calling on the rank-and-file members of the party, if they care enough about the future of their party, to depose its leadership in a palace coup.

They can go about it nonviolently through methods like civil disobedience and the like.

Mbowe must go. It's been long overdue. Under him, the party has plateaued. Some might even say it's getting weaker and weaker by the day.

The party badly needs some new blood with new ideas and ways of doing things.

But that begins with getting rid of its longtime chairman, one Freeman Mbowe.

Make CHADEMA great again!
 
Last edited:
Karibuni kwenye mjadala makamanda. Povu rukhsa.
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sidhani kama Chadema itakuwa na mbunge. Sasa hivi wamebakia kujifariji na wameishiwa kila mbinu. Sijui hata uongozi wa juu unasubiri nini kuvunja chama rasmi. Lakini hilo sidhani kama ni tatizo kubwa kuliko aina ya uteuzi unaofanywa na rais wetu wa sasa. Nashangaa jinsi vijana wapiga dili wavyopewa ukuu wa Wilaya na Mikoa. Sina la kusema ninavyoona machangudoa wakiukwaa ukuu wa wilaya. Hakika watanzania tusipojua adui yetu ni wanasiasa wote bila kujali wanatoka chama gani basi hali yetu itazidi kuwa mbaya.
 
Most of our leaders are unloyal/non patriotic gold diggers. Those who have genuine intent to serve the mass and drive economic prosperity forward and promote the social and economic status of the majority are always seen as betrayers.

I do not see Tanzania going anywhere with these kind of hypocrite leaders, both the ruling and the opposition. All they care about is their fatty malnutritioned bellies, mofos.
 
Baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 sidhani kama Chadema itakuwa na mbunge. Sasa hivi wamebakia kujifariji na wameishiwa kila mbinu. Sijui hata uongozi wa juu unasubiri nini kuvunja chama rasmi. Lakini hilo sidhani kama ni tatizo kubwa kuliko aina ya uteuzi unaofanywa na rais wetu wa sasa. Nashangaa jinsi vijana wapiga dili wavyopewa ukuu wa Wilaya na Mikoa. Sina la kusema ninavyoona machangudoa wakiukwaa ukuu wa wilaya. Hakika watanzania tusipojua adui yetu ni wanasiasa wote bila kujali wanatoka chama gani basi hali yetu itazidi kuwa mbaya.

..ukiwakutanisha ktk majukwaa ya siasa sioni kama kuna anayemzidi mwenzake.

..kuna kipindi ilikuwa unaona ccm wamewazidi wenzao kwa hoja za kisomi na zenye upeo. sasa hivi ile GAP haiko tena.

..kilichobadilika sasa ni CCM kutumia vyombo vya DOLA. Wenzao wakiwa challenge kwa hoja za kisiasa CCM wanatumia vyombo vya dola kuwadhibiti.

..CCM iko juu ya sheria.
 
A bitter medicine, but it's the only panacea for all party's ills.
 
Je Mbowe akiondoka chadema serikali ya ccm, mtaacha kuiba kura na kupora uchaguzi?, je siasa za vyama vingi zitakuwa huru na haki, je kesi mahakamani zidi ya upinzani zitaisha, je kina Ben Saanane na wenzake watapatikana, je watu kuokoywa katika viloba vitaisha, je wizi huko serikali unaoshamili kila kukicha utakoma?

Kwa watu makini sasa hivi tulitakiwa wawe makini zaidi, hasa kwa yanaendelea, inavyoonyesha sleeping agent bado wako wengi chadema, na inaoneka mbowe ndio kikwazo wao kuamka.

Chadema kwa sasa ndio chama ambacho ndio powerful, vingine viko mahututi kutokana na migogoro.

Sasa naona juhudi za makusudi zinafanywa ili wakigawe liwe kama ilivyo kuwa nccr ya kina mrema na marando, au CUF ya Lipumba na Seif.

Ni matumaini yangu huu mtego wanachadema mtauona na kuuepuka mapema iwezekana.

Naweza msisitizo bado sleeping agents bado wako wengi na sasa wanaona muda muaafaka kwao kuamka ila inaonekana Mbowe ndio kikwazo.
 
..ukiwakutanisha ktk majukwaa ya siasa sioni kama kuna anayemzidi mwenzake.

..kuna kipindi ilikuwa unaona ccm wamewazidi wenzao kwa hoja za kisomi na zenye upeo. sasa hivi ile GAP haiko tena.

..kilichobadilika sasa ni CCM kutumia vyombo vya DOLA. Wenzao wakiwa challenge kwa hoja za kisiasa CCM wanatumia vyombo vya dola kuwadhibiti.

..CCM iko juu ya sheria.
Nimeona ningeongeze asante ya maneno kabisa. Umesema kweli mno. Tofauti ya CCM na Chadema ni aina na rangi ya nguo wanzovaa! Hakuna tofauti nyingine!
 
Mkuu umetoa kauli nzito sasa sijui viongozi wa CHADEMA waanzie wapi hapo chaguo la pili.

Hiyo ndio kazi ya viongozi mkuu. Kwanza, kuna watu ambao kuendelea kuwepo upande wa upinzani, kunawanufaisha zaidi wao binafsi (hapo maslahi yao kwanza kisha wananchi).

Pale tutakapokua na viongozi wanaoweka maslahi ya nchi na wananchi mbele kuliko chama na kuweka ubinafsi kando, tutakua tumepiga hatua moja kubwa sana.
 
Vyovyote itakavyo kuwa yajayo hayafurahishi.
Kufa kwa CHADEMA ni kufa kwa maendeleo. Ingepita miaka mingi sana kwa CCM kujaribu kujisahihisha wenyewe kama kusingekuwa na CHADEMA imara ile ya kabla ya 2015.

Sidhani kama Magufuli angechaguliwa na CCM kuongoza nchi.
Tuangalie tusije furahi mafisadi wamepungua kumbe tunatengeneza mafisadi wengi sana baada ya CCM kukosa mpinzani na Mh. Magufuli kuiacha CCM madarakani atakapomaliza muda wake.
 
Binafsi Sidhani kama uwepo wa Mh Mbowe kama Mwenyekiti Ndio Tatizo,naamini bado ni mtu sahihi kukiongoza though haimaanishi kuwa hapaswi kupisha wengine.

Shida kubwa hivi sasa ni namna "mkazi mkuu wa magogoni" alivyoamua kutumia mabavu kuiendesha nchi awamu hii,lakini pia muitikio wa Wananchi kwenye Hali iliyopo sasa.

Ili kwenda Naye sawa ni wazi tukubali kumwaga damu, kufungwa.Lakini hayo yatawezekana tu Ikiwa Watanzania wote tutaacha kuwa watanafkii na waoga Kwa ajili ya maslahi ya nchi yetu.

Kupambana Na udhalimu wa utawala huu sio jukumu la Mbowe ama vyama vya upinzani,ni jukumu letu Sisi kama Watanzania.

Tuache unafiki, ubinafsi na woga tupambane, ama tukae kimya milele na tusiwanyooshee vidole vya lawama wakina Mbowe.
Watu wana agenda yao ya siri, sleeping agents at work, na inaonekana mbowe ndio kikwazo kwao kuamka.
 
original.gif
 
All is not well within CHADEMA.

There is a crisis. A major one, at that. It's a leadership crisis.

This crisis, in my opinion, has reached critical mass and something/ someone's gotta give before it's way too late.

A fish rots from the head down. Now it's time for CHADEMA to cut the head off in order to salvage whatever is left of it.

So I'm calling on the rank-and-file members of the party, if they care enough about the future of their party, to depose its leadership in a palace coup.

They can go about it nonviolently through methods like civil disobedience and the like.

Mbowe must go. It's been long overdue. Under him, the party has plateaued. Some might even say it's getting weaker and weaker by the day.

The party badly needs some new blood with new ideas and ways of doing things.

But that begins with getting rid of the longtime chairman, one Freeman Mbowe.
Nakubaliana na wewe 100%
 
Back
Top Bottom