..ccm wakitukana wanaachwa.
..cdm wakitukana wanakamatwa.
..vyama hivi viachwe vipambane kwa hoja na polisi na dola wasiingilie humo.
..wewe umeona demokrasia gani iliyostaarabika maandamano ya kiongozi mkuu wa upinzani yakasambaratishwa kwa risasi za moto kama inavyotokea hapa Tz?
..mpaka ifikie kiongozi wa upinzani analazimika kuandamana kwa kudai haki zake serkalini na kwa chama tawala ujue kuna tatizo kubwa sana la kiuelewa na kimtizamo kwa hao anaowalalamikia.
..Wabunge wa upinzani wanafungwa kwa kesi za kisiasa. Hivi kwenye nchi za wenzetu waliostaarabika Peter Lijualikali angefungwa na kutumikishwa kwa kazi ngumu?
..Hoja yangu ni DOLA needs to change kulingana na mazingira mapya ya mfumo wa vyama vingi.
..Tutendeane HAKI. Is that too much to ask?
NB.
..Majaji Wakuu Wastaafu wanasema mbele ya Raisi HAKI ITENDEKE. Unadhani yale ni mambo wanazusha tu? Raisi gani mwingine wa Tz umewahi kusikia anaambiwa atende HAKI?
Cc
Richard