A Call For A Palace Coup: CHADEMA

A Call For A Palace Coup: CHADEMA

Who shall ring that bell? Let any one who wanna click such a pepper button ask Zitto and Kitila
 
..hebu tueleze viongozi au wanaharakati wangapi wa Tanu waliuawa?

..au viongozi wangapi wa Tanu walishtakiwa mahakamani tulinganishe idadi na kesi za viongozi wa chadema mahakamani.
Kuna ushahidi gani viongozi wa sasa wanauwawa na washindani wao nje ya chama chao?
Weka ushahidi sio hisia na fununu za mitaani.
 
moja; vyama viruhusiwe kufanya biashara,mie naskitika kuona Mbowe anavumilia humiliation,sababu anajua akistep down atapata wapi mkate kuilisha familia...kungekuwa na proper plan/utaratibu wa kutunza viongozi wa siasa waliopigania chama, vyama vikiruhusiwa kufanya biashara, watakua na pato kubwa hivyo kuwafanya wanasiasa wao kuwa na confidence kuachia ngazi na hivyo kuruhusu wanasiasa wengine wapya ku emmerge.
 
Last edited:
NN hakuna Crisis yeyote zaidi ya CCM kuwarubuni wabunge/madiwani kwa vipande vya fedha na vyeo.
Iwavyo vyovyote. Lakini chama kinatakiwa kifanyiwe major overhaul. Kwa mfano mwenyekiti ameshaongoza muda wa kutosha. Haijalishi alifanya/anafanya vizuri sana au vibaya lakini ni busara akapisha mawazo mapya.
 
Wapinzani kwa sasa ni kama kondoo mbele ya simba.hata mwenyekiti awe nape nnauye au mwigulu nchemba hakuna wa kufurukuta mbele ya chuma cha pua Mh.Magufuli.
 
Hebu jielekeze kwenye hoja ambayo inamtaka mbowe ajiuzulu kupisha damu mpya
Hivi vilio sijui dola ni kuficha tu hoja za kubadili uongozi
Ni mwaka gani ambao kulikua hakuna vyombo vya dola

..ccm wakitukana wanaachwa.

..cdm wakitukana wanakamatwa.

..vyama hivi viachwe vipambane kwa hoja na polisi na dola wasiingilie humo.

..wewe umeona demokrasia gani iliyostaarabika maandamano ya kiongozi mkuu wa upinzani yakasambaratishwa kwa risasi za moto kama inavyotokea hapa Tz?

..mpaka ifikie kiongozi wa upinzani analazimika kuandamana kwa kudai haki zake serekalini na kwa chama tawala ujue kuna tatizo kubwa sana la kiuelewa na kimtizamo kwa hao anaowalalamikia.

..Wabunge wa upinzani wanafungwa kwa kesi za kisiasa. Hivi kwenye nchi za wenzetu waliostaarabika Peter Lijualikali angefungwa na kutumikishwa kwa kazi ngumu?

..Hoja yangu ni DOLA needs to change kulingana na mazingira mapya ya mfumo wa vyama vingi.

..Tutendeane HAKI. Is that too much to ask?

NB.

..Majaji Wakuu Wastaafu wanasema mbele ya Raisi HAKI ITENDEKE. Unadhani yale ni mambo wanazusha tu? Raisi gani mwingine wa Tz umewahi kusikia anaambiwa atende HAKI?

Cc Richard
 
Second,serikali ya Magufuli iache kujaribu kuua upinzani,....kwa nini kama Chadema inajifia isiachwe ikajifia yenyewe...kama nyie ni chama kubwa kwa nini msitumie resources zenu kwenye mambo mengine na sio kufuatilia upinzani .?unatengeneza mazingira ya FEAR,kufunga viongozi wake ,shambulio kwa Lissu etc,hii inawazuia wanachama wapya ambao wangeweza kuongoza upinzani vizuri tu kutojitokeza kwa hofu ya hizo drama za serikali ya CCM...
 
..ccm wakitukana wanaachwa.

..cdm wakitukana wanakamatwa.

..vyama hivi viachwe vipambane kwa hoja na polisi na dola wasiingilie humo.

..wewe umeona demokrasia gani iliyostaarabika maandamano ya kiongozi mkuu wa upinzani yakasambaratishwa kwa risasi za moto kama inavyotokea hapa Tz?

..mpaka ifikie kiongozi wa upinzani analazimika kuandamana kwa kudai haki zake serekalini na kwa chama tawala ujue kuna tatizo kubwa sana la kiuelewa na kimtizamo kwa hao anaowalalamikia.

..Wabunge wa upinzani wanafungwa kwa kesi za kisiasa. Hivi kwenye nchi za wenzetu waliostaarabika Peter Lijualikali angefungwa na kutumikishwa kwa kazi ngumu?

..Hoja yangu ni DOLA needs to change kulingana na mazingira mapya ya mfumo wa vyama vingi.

..Tutendeane HAKI. Is that too much to ask?

NB.

..Majaji Wakuu Wastaafu wanasema mbele ya Raisi HAKI ITENDEKE. Unadhani yale ni mambo wanazusha tu? Raisi gani mwingine wa Tz umewahi kusikia anaambiwa atende HAKI?

Cc Richard

Umesema mambo ya msingi sana hapo!
 
Bavicha,! kama ingalikuwa ni mimi mambo yangelikuwa hiviii, hapo kwenye kaofisi kenu ka Ufipa..kila mmoja wenu lala chini!!! mwenyekiti yuko wapi?!...hahaha lete kiti..hahaaa just joking
giphy-1.gif
 
Last edited:
Nyani Ngabu

Bila shaka unafahamu karibu viongozi wote wa juu wa CDM wana kesi inawakabili mahakamani ikihusishwa na mauaji ya binti yulee.

Ukishajua kinachotafutwa hapo mengine huitaji kusimuliwa.
Lame excuses!
Kesi zipo na zitakuwepo dhidi ya viongozi wa upinzani, so what? Sasa nini kifanyike?
 
Iwavyo vyovyote. Lakini chama kinatakiwa kifanyiwe major overhaul. Kwa mfano mwenyekiti ameshaongoza muda wa kutosha. Haijalishi alifanya/anafanya vizuri sana au vibaya lakini ni busara akapisha mawazo mapya.
Kila chama na sera zake mkuu ndio maana hata ccm wameweka raisi ndio mwenyekiti by default hakuna mwingine atakayethubutu kuomba uenyekiti,ikifika kipindi muhafaka watagombea wengine ngoja atengeneze makamanda kwanza,si unaona mamluki kibao asije mkabidhi chama puppet akaikuiza na kukiua kwa njaa.
 
Kuna ushahidi gani viongozi wa sasa wanauwawa na washindani wao nje ya chama chao?
Weka ushahidi sio hisia na fununu za mitaani.

..tueleze wana Tanu wangapi waliowawa wakati wa kupigania uhuru?

..kama hakuna waliouawa na dola,tueleze hata waliouawa na wanyama pori.

..miaka hiyo hapa Dsm temeke, msasani, etc kulikuwa na simba.
 
Kama kwel tatzo ni MBOWE Kwann msiiache chadema ijifie Tu yenyewe???? M nahis kuna kitu kinatengenezwa dhidi ya MBOWE nahisi MBOWE ni kikwazo kikubwa Sana kwao Hadi wanashindwa kufanikisha kuivuruga CHADEMA.....

HUU NI MUDA SAHIHI WA MBOWE KUENDELEA KUONGOZA KULIKO WAKATI MWINGINE WOWOTE ULE AISEE......
 
.wewe umeona demokrasia gani iliyostaarabika maandamano ya kiongozi mkuu wa upinzani yakasambaratishwa kwa risasi za moto kama inavyotokea hapa Tz?
Bado tungalipo na kumbukumbu mbaya ya picha za wana CHADEMA wakiririka damu baada ya kupigwa kipigo na vyombo vya dola kule Arusha.
Bado taswira ya mke wa Dr. Slaa aitirika damu usoni ipo.
Lakini CHADEMA ilizidi kupata nguvu na kuojiongezea wafuasi na sio kukimbiwa na wabunge na madiwani wake.
Ipo wapi ile hali ya mshikamano na umoja kiasi cha diwani kadhaa wa Arusha kukubali kususia vikao na mengineyo kwa jaili ya chama pale ilipotokea uhuni wa uchaguzi wa meya?
Unafikiri ile nguvu imepoteaje na ilipatikanaje?

Something wrong some where inside the party.
 
Back
Top Bottom