A Call For A Palace Coup: CHADEMA

A Call For A Palace Coup: CHADEMA

Huwa napata taabu sana pale tunapo tunapokimbilia kusema kwamba hili wimbi chanzo chake ni ulanguzi pasipo kujadili walau hata kidogo hoja za wakimbiaji kuhusu udhalimu wa kiuongozi ndani ya CHADEMA, mbona tangu enzi za Zitto sababu ni zilezile?

Suala la kununua watu isiwe hoja, kaz ya chama chochote kile ni kuhakikisha kinaongeza wanachama na kushika dola, utaongezaje wanachama wenyeviji wa vyama na kamati zao wanajua, ajabu ni pale mwenyekiti fulani wa chama kulialia eti kunawanachama wananunuliwa, shiit!! old fashioned chaiman,go! go! go
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpatieni tu, CDM bila huyu Mbowe ingekua imekufa toka zamani.

Pamoja na madhaifu yake meengi lakini amegoma kununuliwa na upande wa pili.
I salute him

Mi namkubali sana. Ila muda umewadia awaachie na wengine sasa.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpatieni tu, CDM bila huyu Mbowe ingekua imekufa toka zamani.

Pamoja na madhaifu yake meengi lakini amegoma kununuliwa na upande wa pili.
I salute him

Nakubaliana sana na maneno yako mkuu, lakini pia kumbuka kwa kuendelea kubaki kuwa mpinzani kwake ina maslahi zaidi. Ni kweli amekitoa chama mvali lakini pia angalia upande wa pili.

Nyerere mwenyewe aling'atuka licha ya kuitoa nchi mbali, nafikiri wakati pia mwenyekiti kujitafakari kulinda heshima iliyobaki.

Shukran
 
Mada imetolewa kwa ligha gani wakuu, mbona munachangia kwa kiswahili ???
 
Nakubaliana sana na maneno yako mkuu, lakini pia kumbuka kwa kuendelea kubaki kuwa mpinzani kwake ina maslahi zaidi. Ni kweli amekitoa chama mvali lakini pia angalia upande wa pili.

Nyerere mwenyewe aling'atuka licha ya kuitoa nchi mbali, nafikiri wakati pia mwenyekiti kujitafakari kulinda heshima iliyobaki.

Shukran

Doing the same thing over and over and expecting different results....

CHADEMA badly needs some new blood at top.
 
All is not well within CHADEMA.

There is a crisis. A major one, at that. It's a leadership crisis.

This crisis, in my opinion, has reached critical mass and something/ someone's gotta give before it's way too late.

A fish rots from the head down. Now it's time for CHADEMA to cut the head off in order to salvage whatever is left of it.

So I'm calling on the rank-and-file members of the party, if they care enough about the future of their party, to depose its leadership in a palace coup.

They can go about it nonviolently through methods like civil disobedience and the like.

Mbowe must go. It's been long overdue. Under him, the party has plateaued. Some might even say it's getting weaker and weaker by the day.

The party badly needs some new blood with new ideas and ways of doing things.

But that begins with getting rid of the longtime chairman, one Freeman Mbowe.
Childish.There's bigger monster known to you who must first be killed.Soon will be dead.
 
In fact, the party is facing a lot of challenges ahead of 2020 elections. It is high time to change the leadership before things become too worse
...acheni huu Ujinga
Kwahiyo kuzuiwa kwa Mikutano ni uenyekiti wa Mbowe watu kununulika ...Sikieni asee hii Nchi ni yetu sote tumieni tumieni Dola muwezavyo but the Day has come
 
Doing the same thing over and over and expecting different results....

CHADEMA badly needs some new blood at top.

Mambo yamebadilika sana mkuu. Upinazi wa sasa hivi unataka mbinu mpya, siasa za mtindo tofauti kabisa na hapo awali.

Mabadiliko hayaepukiki.
 
When was he elected?

CHADEMA needs to have term limits for its leadership positions.

..If I am not mistaken he was elected in 2003.

..the term limits clause was removed to allow him to be eligible for re election.

..Like i said before, cdm has a lot of challenges / problem, some are real, and some are just due to pplz perceptions.

..But I think Mbowe should be step aside so as to infuse new style and ideas into the party.

NB.

..kipindi cha Dr.Slaa, Mbowe alikuwa analaumiwa for not being combative enough.

..awamu hii analaumiwa kwa kutumia muda mwingi kupambana na serekali, kuwa na kesi nyingi, na kukiumiza chama.
 
Mbowe na CHADEMA yake wameshindwa kufanya siasa za upinzani.

Lugha ya upinzani si kukejeli, kutukana wala kukashifu dola basi ni kutumia lugha ya kuwafanya wapiga kura waanze kuwafikiria.

Pamoja na mambo mengine mengi tu CHADEMA wameshindwa kutumia lugha ya upinzani iwe majukwani au bungeni.

Badala yake CCM imewazidi kete kwa kuyashughulikia yale yoote ambayo kama CHADEMA ingekuwa imejipanga uzuri (Chaguzi za 2005 na 2010) basi ingkuwa chama tawala.

Chadema wamekosea sana kumkaribisha Edward Lowasa na Frederick Sumaye na hawa wawili ndio wanaoshiriki kukiangamiza chama nyuma ya mapazia.

Mtu hawezi kukuambia vingine kuhusu mawaziri wakuu hawa wa zamani ambao walikuwa wanaongoza dola la nchi hii huko nyuma.

Mbowe aitishe uchaguzi CHADEMA wapate mwenyekiti mpya mwenye mwazo na mwono mpya au la akae kimya kukiona chama kinateketea kimyakimya.
 
Ushahidi kuwa CCM wanawanunua hao watu Uko wapi?
Ushahidi ambao upo dhahiri ni kwamba wote wanaohamia ccm baada ya mda wanapewa vyeo au wanarudishwa kwa nafasi zilezile walizokuwa upinzani(udiwani,ubunge etc).

Umemuona Nyalando? Baada ya kuachia ametulia tuli.
 
Back
Top Bottom