Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
Unaacha kitu baada ya kukupa faida...mifumo hubadilika na kuboreshwa ..kwa sasa tuko katika utumwa wa kiaina nyingne tofaut...na watu weupe wanalijua hilo...hapo zaman vita za mabomu na silaha vilitumika kwa sasa vita za kibiashara na uchumi na maradh ndio znatumika....utumwa wa karibu miaka 600 ulikua na faida sana kwa waliofanya..kwahyo tuendelee tafuta jib y mtu mweupe alijanjaruka mapema namna hyo.....kwangu mm jib langu ni 1..sabab za kimazingira tu..ukiwa mboga saba huwez jua kutafta chakula.ila mtoto aliezaliwa mlo m1 kwa siku atajua tafuta chakula..and the principle goes on and on.Kwanza kabisa wazungu hawajatuletea dini. Tulikuwa na dini kabla hawajafika kwetu.
Pili, Waafrika hawakuwa na haja ya kwenda Ulaya kwa sababu waliridhika na neema nyingi za bara lao. Wakina Vasco da Gama wameondoka kwao kutafuta vitu ambavyo kwao havioti, wa Afrika hawakuwa na sababu ya kwenda Ulaya. Waliridhika na maisha yao.
Tatu, hizo habari za kumfanya mtu mwingine mtumwa zinaweza kuwa na manufaa kwa mtu mwenye akili fupi. Kwa kipindi kifupi. Maendeleo yanayotegemea utumwa ni maendeleo yasiyo sustainable. In the long run, jamii zilizoendekeza itumwa ama zilianguka (Rome) au ziliacha utumwa (Marekani).
Ndiyo maana watu wenye elimu wamepiga marufuku utumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app