99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,272
35,640
Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema wewe ni mgeni/mtalii umekuja kuponda raha zote safi na chafu basi kwa haraka sana utauziwa kila kitu unachokitaka kuanzia pombe, ngono mpaka madawa ya kulevya. Cha kushangaza sana waratibu wa hayo yote ni washika dini wazuri.

Hutasikia danguro likichomwa moto wala klabu ya pombe ikivunjwa Zanzibar. Mpaka sasa hakuna kumbukumbu zozote za wazi zinazoonyesha teja, mlevi, malaya au shoga kupigwa, kuteswa au kuuawa Zanzibar, lakini kuna kumbukumbu za wazi za viongozi au waumini wa dini fulani kuuawa, kupigwa, kunyanyaswa na kuteswa huku mali zao zikiharibiwa.

Kuna kitu bado sijakielewa vizuri Zanzibar. Nadhani pia Zanzibar inapaswa ibadilishe mitazamo yake.
 
Angalia akili zako za kitoto ,wakianza kuwapiga walevi utasema tena ,🤣🤣yaani useme kila anayefanya kosa wampige mpaka wamuue ...Mtakujw tena kusema waislamu ni makatili wana hukumu watu.

Zanzibar hawawezi kukubali kujengwa makanisa ya kitapeli kama hawa manabii huleta ujinga kwa watu.🤣🤣

Zanzibar kuna makanisa na wakristo acha uongo wako juzi kati tu hapa walikuwa na mgogoro juu ya viongozi wao, yaani wakristo wanagombana wenyewe.

Hakuna mtu kauliwa kisa dini yake hii ni hostility tension baina ya bara na zenji , wale wanashangaa wakiitwa wao ni mashoga na wale wanajua wabara sisi ndio tunaharibu mji wao.

Angalia unachoandika leo hata mikoani hapa Tanzania watu wanasemana kutokana na ukanda na mikoa ,jambo la kawaida .
 
Bisha tu hapa JF, lakini ukweli unaujua. Chuki ya wazanzibar iko dhidi ya imani fulani tu lakini haiko dhidi ya uovu mwingine wowote.

Nani asiyejua kuwa Zanzibar ni kitovu cha utalii wa madawa ya kulevya katika ukanda huu wa Afrika Mashariki?

Kuna mtaa gani hapa Unguja uliokosa nyumba ya ibada, walevi, malaya, mateja na mashoga? Sasa kwanini huo uovu ushamiri?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayokataza uwepo wa imani zingine za dini? Kwanini chuki dhidi ya imani nyingine ishamiri?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayobariki biashara ya umalaya, utumiaji wa madawa ya kulevya, ushoga?

Ni vipi utamaduni wa kijamii au kidini wa kizanzibar unaweza kujenga chuki dhidi ya imani zingine za kidini na hapo hapo ukaweza kuvumilia na kuukumbatia ushoga, ungese, ulawiti na umalaya?
Kuna kitu hakipo sawa Zanzibar.
 
Dini ile inalindwa kwa hofu. Waumini wengi hawajui wanachokifuata hivyo akija mtu wa kuwafungua anaweza kubadili upepo ndio maana wanapingwa.

Nakumbuka niliwahi kumpelekea injili mmoja akajifanya hajui kusoma na hasikii vizuri. Lengo ni asisikilize maana hajui kitu na amepigwa biti asisikilize vitu vipya asijekugeuzwa.
 
Bisha tu hapa JF, lakini ukweli unaujua. Chuki ya wazanzibar iko dhidi ya imani fulani tu lakini haiko dhidi ya uovu mwingine wowote.

Nani asiyejua kuwa Zanzibar ni kitovu cha utalii wa madawa ya kulevya katika ukanda huu wa Afrika Mashariki?

Kuna mtaa gani hapa Unguja uliokosa nyumba ya ibada, walevi, malaya, mateja na mashoga?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayokataza uwepo wa imani zingine za dini?

Ni sheria gani hapa Zanzibar inayobariki biashara ya umalaya, utumiaji wa madawa ya kulevya, ushoga?

Ni vipi utamaduni wa kijamii au kidini wa kizanzibar unaweza kujenga chuki dhidi ya imani zingine za kidini na hapo hapo ukaweza kuvumilia na kuukumbatia ushoga, ungese, ulawiti na umalaya?
Sasa ulitaka hao watu wauliwe wanaotenda makosa ? Nan asiyejua waislamu wanachukiwa kanda kibao hapa bongo.

Wapi ulilazimishwa kwend Zanzibar kama sio shobo zako!?

Nan asiyeju wapiga dili wa madawa hata Rwakatale yule yupo mama wa upako marehemu !? Wale waarabu ni vibara je unawajua mapapa hapa.

Nan asiyejua manabii na mitume wote ni matapeli !?

Nan asiyejua Mwamposa aliua watu kule Kilimanjaro kweny kutoa mafuta na hajafungwa kwa kusababisha vifo ,kaachiwa anaendelea na ujinga ule ule.

Nimekaa Kilimanjaro wana chuki na waislamu mara waite watu majini , Kilimanjaro kuna maovu yote na pombe kule sio ovu ni jambo la kawaida bado ukatili wa kumalizana.

Nan asiyejua kwamba zanzibar kuna makanisa na wao kwa wao wakristo wanagombana ?

Niambie ni wakristo wangapu wamauliwa?

Nan asiyejua wazanzibar hawataki muungano.

Ishu ya muungano ndio inaleta huu ujinga ..Nan asiyejua mabintu wa huku bara wanawachukia wa kule Zanzibar.

Kinachowapdleka kule ni nn ? Mbona wazungu hawalalamiki na wanaenda kutwa 🤣🤣🤣.

Ishu ni muungano punguza chuki mpaka unajiita jina la Zanzibar..

Tukitaja mashoga wakubwa hapa usije kushangaa wapo maaskofu wapo kwa kivuli hatawaki kuoa..!
 
Back
Top Bottom