90% ya wanaume waliooa Tanzania hawavutiwi na wake zao

Mwanamke aliye olewa hubadirika sana hasa baada ya uzazi, tranformation inayotokea baada ya kuzaa, kupigwa mikasi, mwili kupanuka na kuongezeka ni vitu vinachangia pia..

Pia wanawake wenyewe unakuta wapo busy na watoto na kuwaacha wanaume pekee yao.

Mwanamke anapaswa kuwa na akili sana kuendelea kumvuatia mume wake.
 
Wanaume tulio wengi wakat wakuoa hatuangalii uzuri,kuna sifa nyingine nyingi za MKE

ambazo wanaume ndio tunaziangalia,shida inakuja tukiwa kwenye ndoa tunatamani sasa muonekano wa nnje wa wanawake wengine ungekua ndio wa mke wangu.

kitu ambacho tunakua tushachelewa,ila ukweli ni kwamba hatuvutiwi na wake zetu kwa mionekano yao ya nnje,lakini ndani na tabia na kila kitu mioyo yetu wanaume ni kwa wake zetu.

ndio mana naweza chepuka ili nishike hiyo mikalio ya huyo mdada nikishamaliza akili yote inarudi kwa mke wangu nyumbani.

Mke atabaki kuwa mke nafasi yake hakuna wakui replace,ila kutamani warembo wa nnje ni swala tutaendelea nalo mpka dunia ifike mwisho na isipofika mwisho hatutoacha vutiwa na warembo Mungu kawaumba kisa eti nina mKE,nEVER.
 
Siyo kwamba hatuvutiwi nao, shida ni kwamba hawa wanawake wakishaingia kwenye ndoa huwaga wanaanza kujisahau sana kiasi kwamba mahaba na mbwembwe zote anayaacha kwenye uchumba, ndio maana wanaume wananza kutafuta michepuko inayojua mahaba kuliko wao

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
kinachokera zaidi, kuna baadhi yao huanza kumuona mume kama sehemu ya watoto wake hata anakosa adabu kwa mumewe na hata sex life haoni kuwa ni kitu muhimu sana kwa mumewe.
 
Back
Top Bottom