Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 276
mi nimeshindwa kuelewa . Sijui ni njama au ni uzembe uliopitiliza ?
Ni jinsi nchi ilivyoingizwa kwenye ukoloni na Carl Peters a.k.a Mkono wa Damu.
mi nimeshindwa kuelewa . Sijui ni njama au ni uzembe uliopitiliza ?
duh mkuu umenikumbusha bakurutu la pale ilikuwa safi sana .
wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
Wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa Arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
Wanajamii ni muda sasa karibu miaka 5 hotel hii imebinafsishwa lakini hakuna ujenzi unaendelea ni kitu gani kinazuia ujenzi kuendelea ? Kama mwekezaji ameshindwa kuiendeleza si anyang'anywe apewe mwekezaji mwinine , hii hotel ni muhimu sana kwa uchumi wa mkoa wa Arusha . Kama kuna mtu anajua kinachoendelea atujuze.
Mshaurini Mh. Raisi abadili matumizi ya hilo eneo pajengwe chuo kikuu badala ya hotel, ni mtazamo wangu.
wakuu mbona hizi hotel zpo nying 2 kibo hotel,nakara hotel,capricon hotel zote hizi kwishneyhivi nayo hii ilikuwaje?
Ahhh mkuu sijui kwa nini umefunua kitu hiki kutukumbusha bakurutu letu lililopotea aise
mpaka leo arusha hakuna ukumbi wa maana wa music kumbi nyingi ni vibaka oriented ukiingia mle wakati wa kutoka ujiandae kama huna usafiri
nakumbuka tuu disco la pale
Walitunyima sana raha kuutumia ule ukumbi kwa disco aise
Kulikuwa na disco moja la kistaarabu sana na amani na watu walikuwa wanaemda pale hata kama sio wanywaji wala wacheza music ila kupumzika na kuangalia mambo yanaendaje na sehem ya kukutania pia
Ila ndio tanzania yetu kila mtu anafanya analoliona linamfaa
Wangeacha hata tuendelee na ule ukumbi kama hawakuwa na mpango wa kuubomoa kwa kipindi hicho
mkuu pale panafaa sana kwa hoteli . Tuliambiwa kempisky wangejenga hotel yenye vyumba 2000 sasa sijui tumedanganywa au ? Ila kwa eneo la eka 25 linafaa kabisa kujenga hoteli kubwa kama hiyo na watu wakapata ajira na uchumi wa mkoa ukapanda.
...Gama kwani kura za maoni zimekwisharudiwa? Yap i believe this time Sarakikya will make the difference...Bucho umeamkaje?, utaenda kumpigia kura Sarakikya pale arumeru?!. Hii mada yako ni tata. Kwanza umesema imepata muwekezaji kama miaka 5 imepita( tueleze basi, ni nani, wawapi?) kisha unamalizia kusema anayejua kinachoendelea atujuze, inamaana huna uhakika na ulichopost. Unatupa jiwe kichakani?!