5538 users online

5538 users online

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
There are currently 5538 users online. 982 members and 4556 guests

Ni usiku wa manae (02:00 am) member wana-browse, kweli jf ni ni mtandao wa kimataifa.
 
Wengi huwa wanasahau ku-log out lakini hata kama siyo hivyo kuna nchi nyingine muda huu ni mchana kwahiyo haishangazi kuona idadi hiyo ya watu muda huu. Kwamfano hapa Malindone sasa ni saa 10 jioni watu tunajiandaa kufuturu.
 
Mwita25, ulifunga leo? Mbona Idi bado kidogo?
 
kawaida tu ndugu yangu jf inatwanga dunia nzima,wenzio hata usingizi hatujapata halafu huku niliko mie leo ni jumamosi. Nalog off
 
huo ndio ushahidi kuwa watu hawavunji tena amri za Bwana.
 
Wengi hapo wamesahau ku log out.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom