Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,464
- 29,165
Wadau,
Nikiwa napitia maswala ya burudani nikapata habari kua Diamond ametoa single mpya ya UTANIPENDA??. Nikaona na kusikia ikipewa shavu kubwa tu kua ni single kali (??) na ita-hit sana redioni na kwenye TV. Nilijaribu kuitafuta audio na video ili niione hiyo (hit??) song inayotajwa.
Ki ukweli sijaiona kama inafaa kuitwa hit song, labda imetolewa tu na msaani anae hit ila yenyewe sio kali kihivyo. Nimesikiliza maudhui yake naona kama kakopi ideas ya 50 Cent kwenye 21 - QUESTIONS, pia kakopi kutoka kwa Mike -Tee kwenye kwenye JE UTANIPENDA. Nyimbo zote hizi mbili za 50Cent na Mike Tee ni swali wanaoulizwa wenzi au mashabaki kama wataendelea kua pamoja na wasanii hawa hata pale watakapoanguka (filisika).
Nilidhani labda kwa msanii mkubwa kama Diamond angefanya uchunguzi kwanza kabla hajarekodi huu wimbo, maana hata jina aliloupa ni lilelile tu la Mike Tee, ila yeye ameondoa neno JE mwanzoni. Binafsi sijamsikia Mike Tee akilalamika kuibiwa idea yake ila kama akipata kuusikiliza huu wimbo na hilo jina aliloupa basi Diamond hatakua na cha kujitetea.
Huu ni mtazamo wangu tu, karibuni!!