50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

Kusema wanashambilia sana ilhali viongozi wao wa juu(wa kidini,kisiasa na kijeshi) wanauawa kwa wingi na wao hawajaua hata high ranking military commander mmoja panakuwa na utata hapo.
πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Iran anachapwa kichapo cha kimya kimya na hio ni stratergy ya US/ Israel kuepuka hasira za wananchi-waislam wasijeoona Iran inaonewa. Na Hata kuonesha sana Israel inavyorushiwa makombora ni mkakati huo huo wa kuonesha kua Irani ndio inashambulia lakini kiukweli ni inapata vipigo vitakatifu sana hawana pa kupumulia maana anga na majini kumetawaliwa na US/Israel.
NB. Hali ngumu ya maisha yaja maana Oil ya Iran haitoki na ya Venezuela iko mikononi mwa Trump.
Ooops!!! nilisahau meli mlizosajili nyie zinabeba unga tu.
 
πŸ’―πŸ’―πŸ’―

Best comment
 
Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi.

Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.

Najua Irani imepigwa ILA bado nasubiri nipate clip za upande wa pili wa Israel; kwani mwaka jana Israel Ilivyo ibeep Iran, Iliambulia kipigo cha mbwa koko, hadi Marekani alivyo kuja mbio kuokoa jahazi. ILA mbumbu wa hapa nyumbani walishinda mitandaoni wakiaminisha watu kuwa, Israel imesambaratisha Iran.....
HAO WAISRAEL WALIO MUUA YESU, NAONA DAMU YA YESU INAWAANDAMA.....WANAENDELEA KUUA!!!
 
Ila US wabaya sana wamewachonganisha Pakistan na Afghanistan kuwaweka busy na vita yao, huku ndugu yao Iran wakimpa kibano cha uhakika. Mwanzo US/Israel walidai wanataka kumpunguzia Iran nguvu za nyuklia, Ila sasa wameona Hapana, Wanataka " regime change", yale yale yaliomkuta Saddam.
Ifahamike tu: Iran ndio nchi upande ule yenye wayahudi wengi wazaliwa wa pale pale, kwahio Israel wanapewa intelligence ya ndani kwa ndani na ndugu zao.
 
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…