50 Cent Ajitabiria Kifo Chake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

50 Cent Ajitabiria Kifo Chake

Discussion in 'Celebrities Forum' started by MziziMkavu, Jan 9, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]50 Cent Ajitabiria Kifo Chake[/TD]
  [/TR]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]
  [​IMG]
  50 Cent[/TD]
  [TD]Sunday, January 08, 2012 9:22 PM
  Msanii mkongwe katika anga ya muziki wa Hip Hop, 50 Cent amejitabiria kuwa hana muda mrefu duniani na kifo chake kipo karibuni.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Albamu yake ya kwanza iliitwa "Get Rich or Die Tryin" lakini pamoja na kuupata huo utajiri aliokuwa akiupigania, 50 Cent hana furaha na anafikiria kuwa kaburi linamjongea.

  Nyota huyo wa Hip Hop ambaye jina lake halisi ni Curtis James Jackson III, aliweka ujumbe mara kadhaa kwenye tovuti ya Twitter akisema kuwa ana uhakika hana muda mrefu duniani.

  "Kwa kusema kweli sifikirii kama nitaishi muda mrefu", alisema 50 Cent katika ujumbe aliourusha kwenye Twitter.

  50 Cent ambaye ana umri wa miaka 36 aliendelea na kusisitiza kuwa itakuwa vizuri kama atafariki usiku wa leo.

  Ujumbe huo umefuatia vijembe ambavyo 50 Cent amekuwa akirushiana na studio iliyokuwa ikirekodi albamu zake ya Interscope ambayo imemtema 50 Cent.

  "Muziki ulikuwa ndio burudani yangu lakini hivi sasa siasa imeingia kwenye muziki kitu kinachonikera", alisema 50 Cent.

  "Sijavunjika moyo lakini naamini hivi sivyo ambavyo ningetaka nikumbukwe".

  50 Cent aliendelea kusema kuwa hivi sasa yuko bize kumalizia albamu yake na baadae atajishughulisha na filamu ambayo ameshirikishwa.  Ana matatizo ya
  matatizo ya kisaikolojia! inaonyesha hivyo hahahahahah peas zikiwa nyingi zinakutia wendawazimu.​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,246
  Trophy Points: 280
  Siasa imeingia kwenye muziki ni kweli. Afu si mwana CCM huyu? Alipigaga picha na JK kama sijaota...
   
 3. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Mmh hajui maneno huumba..
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmmhhhhh!......mbona mimi kila siku naitamkia ccm ife/isarambatike lakn wapi,.....hakuna kitu hapo
   
 5. d

  divalicious Senior Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakula matunda ya midomo yake, au alikua anajitabiria kifo cha kisanii?
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,708
  Trophy Points: 280
  hahahahahahah
  alipelekewa kadi ya uanachama huko huko
   
 7. K

  Konya JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  atadanji kiukweli ye analeta masihala,bt huenda kifo chake kinanukia...
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  hivi kwanini asife kimziki wakati anabifu na wasanii wengi kama
  Ja-rule
  Dj Khaled
  Nelly
  Rick Ross
  The Game
  e.t.c

  ila nadhani labda anazungumzia kifo kisanaa
   
 9. kajwa

  kajwa Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mwacheni hafe kwani yeye nani?amekufa michael jackson kasolo yeye.
   
 10. Ikeli Nagiva

  Ikeli Nagiva Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kifo cha kweli. Anajitanguliza aonekane kidume, lakini kiukweli vitisho vya kumuondosha kutoka kwa mahasimu wake vimeongeza sana.
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Naona ataishi muda mrefu sana huyu jamaa! Alishakoswakoswa na risasi zaidi ya mara 100 lakini bado anadunda.
   
 12. salito

  salito JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  wana jf nmependa sn post zenu zmenifurahisha wajameni ah ha ha ha ha..
   
 13. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  kuna video moja Rick Ross na kundi la Tripple C wanamwambia watammaliza.,kina Gun player,Jamaa amekuwa na bifu za kijinga
   
Loading...