5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wakuu
Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta

5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period)
5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period)

Kwa nn bei zimetofautiana sana?
Naomba ujuzi wenu waungwana
 
Inabidi umalizie utafiti kwa kutumia zote hizo mbili labda itakuwa ni kisa cha Volswagen na Benz, zote ni gari, zote za Kijerumani, bei tofauti.
 
True sijawahi tumia ya voda, nita try
upande wa airtel nawakubali wako na speed nzuri
 
Wakuu
Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta

5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period)
5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period)

Kwa nn bei zimetofautiana sana?
Naomba ujuzi wenu waungwana

Airtel wanadai wanaspidi kali sasa lakini hata kama ni kweli yawaje hawana bei shindani? Kwenye masuala ya kimtandao offers za Airtel hazitii matumaini hata chembe.
 
Acha kuangaika sasa hivi aiteli kwa 5999/= unapata 2GB +Dakika 200 + sms 5000 kwa wiki. ukizidisha mara nne unapata 8GB + Dakika 800 na sms za kutosha.
 
Mkuu unajiungaje? Msaada pls
 
Acha kuangaika sasa hivi aiteli kwa 5999/= unapata 2GB +Dakika 200 + sms 5000 kwa wiki. ukizidisha mara nne unapata 8GB + Dakika 800 na sms za kutosha.
dah... umenikomboa na ukiritimba man.... nilkikuwa nahangaika za siku 990 nikawa nasahau hizi....
 
Wakuu
Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta

5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period)
5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period)

Kwa nn bei zimetofautiana sana?
Naomba ujuzi wenu waungwana
Ngoja nikurekebishie bei mpya mkuu...

5GB voda sasa hivi ni 25000
5GB airtel sasa hivi ni 45000

unlimited ya wiki voda ilikuwa 10000 sasa hivi ni 12500
hizo ni bei za zamani kabla ya bunge kuongeza cha juu
 
airtel wana coverage kubwa tanzania kuliko voda ni monopoly kwenye maeneo ya wilayani wao peke yao ndo wana 3g so hela yoyote wanayopanga haisumbui kwao bundle zinanunuliwa
 
Bei kweli ni ubwa mno kwa data za airtel na isitoshe wao pia wakati mwingine network inakuwa chini sana hadi unashindwa kufanya mambo yako. Cjaona sababu ya kuwa na bei kubwa hvyo.
 
xaxa mkuu vifurushi hivyo unavyosemea ww vpo limited ktk speed tofauti na hivyo vya internet peke ake hiv vnakuwa with higher speed! kuna utofauti hapooooooo!!!!
:closed_2:
 
Airtel wanadai wanaspidi kali sasa lakini hata kama ni kweli yawaje hawana bei shindani? Kwenye masuala ya kimtandao offers za Airtel hazitii matumaini hata chembe.

Kabla bei hazijapanda ilikuwa 3gb it was realy great
 
airtel wana coverage kubwa tanzania kuliko voda ni monopoly kwenye maeneo ya wilayani wao peke yao ndo wana 3g so hela yoyote wanayopanga haisumbui kwao bundle zinanunuliwa
sasa hivi voda ndo wana 3g maeneo mengi kuliko Airtel.
 
sio kweli sjaona 3g voda wilayani ni centre za mikoa tu.

mfano huku kwetu tanga voda wapo tanga mjini tu ndo 3g wakati wilayani hawapo airtel wapo hadi wilayani maeneo kama korogwe kuna 3g. nafahamu pia mpanda ni just wilaya tu lakini wamefika hadi huko airtel.

ntajie wewe wilaya chache tu ambazo sio centre za mikoa ambapo voda wana 3g
 
Back
Top Bottom