5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

Wakuu
Nilikuwa naangalia vifurushi vya voda na airtel, nikakuta

5gb voda wanauza 20,000/- (1 month period)
5gb Airtel wanauza 45,000/- (1 month period)

Kwa nn bei zimetofautiana sana?
Naomba ujuzi wenu waungwana
Mimi nakushauri uwe unatumia AIRTEL TOSHA ya wiki ya 5999=6000 na unapata 2GB, 5000 SMS, 200 Dakika, ukifanya hivyo kwa wiki nne=mwezi utakuta umepata 8GB, 20000 SMS, Dakika 800 kwa 24000/= kwa mwezi. Ushauri tu, Halafu mimi kautafiti kadogo nilikofanya nimegundua BANDLE za VODA ni za uongo, kama haumini siku jaribu 1GB ya Voda na ya AIRTEL then uone ipi inaisha upesi, Utakuta VODA kwisha mapema kabisa for the same WORK.
 
asiwadanganye mtu hamna internet iliyo slow TZ kama ya AIRTEL..
 
Mimi nakushauri uwe unatumia AIRTEL TOSHA ya wiki ya 5999=6000 na unapata 2GB, 5000 SMS, 200 Dakika, ukifanya hivyo kwa wiki nne=mwezi utakuta umepata 8GB, 20000 SMS, Dakika 800 kwa 24000/= kwa mwezi. Ushauri tu, Halafu mimi kautafiti kadogo nilikofanya nimegundua BANDLE za VODA ni za uongo, kama haumini siku jaribu 1GB ya Voda na ya AIRTEL then uone ipi inaisha upesi, Utakuta VODA kwisha mapema kabisa for the same WORK.

Tigo sucks all the time, zantel haijawahi kupita 130kbps kwenye idm naishi hapa msasani pamoja na minara yote hapa makao makuu yao
 
Nakubali Airtel 3G iko mpaka wilayani. Niko Same natumia 3G AIRTEL. Ila nikienda kijijini VODA INA SPEED KULIKO AIRTEL
 
Back
Top Bottom