5 benefits of dating a rich guy

5 benefits of dating a rich guy

Mkuu leo nashindwa kushangaa ninachokisoma kwa hawa akina dada
Hata mimi nimeshangaa sana, eti leo wanajifanya wako tofauti ilihali kila siku ni kelele humu kuhusu pesa.

Juzi tu hapa kulikuwa na mada ambao ilihusu kitu ambacho wanawake wangependa mwanaume awe nacho, wengi walipendekeza magari ikiwemo Mzigua90, wengine nyumba, vitu ambavyo lazima uwe na pesa ndio uweze kuvimiliki.

Lakini leo wanakuja na mawazo tofauti, hawaaminiki hawa wanawake
 
Mkuu acha tuwazoee. Kesho itakuja thread ingine watakuwa upande wa pili
 
Back
Top Bottom