RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,511
Ndio najifunza kuwazoea.Tuzoee tu
Ndio najifunza kuwazoea.Tuzoee tu
Sio wote ndugu yangu bado wanawake wema wakweli wapo/tupo.Ni ukweli usiopingika siku hizi pesa ni jambo la kwanza kwa wanawake wakitaka kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume.
Wanaopenda kwa dhati bila kigezo cha pesa ni wachache sana
Hapa nmekuelewa sana mpenzi.Napenda pesa ila za mtu ninaempenda.
Sijui kwanini weng wanajifanya hawalijui hiliSio wamesahau, kizazi hiki si kile cha mama zenu. Sasa hivi ni majanga!
Na wanatafutwa kwa torchNi ukweli usiopingika siku hizi pesa ni jambo la kwanza kwa wanawake wakitaka kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume.
Wanaopenda kwa dhati bila kigezo cha pesa ni wachache sana
Inawezekana hukutani nao tu ila wapo wengi sana.Wapo wachache sana kiasi kwamba tunasema hamna!
Hivi unafikiri akishajua nina pesa hatanipenda? Wanajichanganya tu.Hapa nmekuelewa sana mpenzi.
[emoji3][emoji3]Kuwepo WAPO ila sio wengi. Ni wachache sana.
Kuna dhana kwamba wanawake huwa mnajifunza kupenda, yaan mnapoishi na mwanaume tartibu upendo unaongezeka juu ya huyo mwanaume. Hili lina ukwel?Kama nakupenda kwanini nisikudate. Hela inatafutwa tuu.
Yani kisa una hela ndo upendwe? Hapo hupendwi wewe inapendwa pesa yako. Ndo maana pesa ikikata na gf anajikataHivi unafikiri akishajua nina pesa hatanipenda? Wanajichanganya tu.
Bas nyie ni bidhaa adimu sana. PricelessInawezekana wengi wakawa hivyo,ila ukweli wwapo/ tupo tunaojali mapenzi kwanza.
Mnafanya kusudi eeeehTuzoee tu
nakutana na wanawake wa kila aina. Kizazi chenu mliozaliwa 90- pesa mbele! Kizazi cha mapenzi walizaliwa 85 kushuka chini.Inawezekana hukutani nao tu ila wapo wengi sana.
Wachache sanaSio wote ndugu yangu bado wanawake wema wakweli wapo/tupo.
Nyuma ya keyboardBas nyie ni bidhaa adimu sana. Priceless
Kweli sijawahi kumpenda mwanaume katikati ya mahusiano. Japo wanasema hivyo.Kuna dhana kwamba wanawake huwa mnajifunza kupenda, yaan mnapoishi na mwanaume tartibu upendo unaongezeka juu ya huyo mwanaume. Hili lina ukwel?
Ukiona hamna mapenzi unaweka utu mfukoni. Si ndio?Mbona tupo wengi RRONDO. Haimaanishi sipendi pesa ila mi mapenzi kwanza pesa baadae. Sasa nikiona hamna hayo mapenzi ndo naweka pesa.
Yah..hahaahaa.Bas nyie ni bidhaa adimu sana. Priceless