RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,498
- 135,494
Una mapesa mengi alafu hunipendi kuna raha hapo?
Siku hizi ni tofauti, wallet kwanza upendo baadaeUpendo kwanza.mengine yanafwata.
Siku hizi ni tofauti, wallet kwanza upendo baadaeUpendo kwanza.mengine yanafwata.
Unafikiri mwenye pesa atakaa na mtu hampendi? Kama anakupitia tu anaendelea na safariUna mapesa mengi alafu hunipendi kuna raha hapo?
Inategemea.Siku hizi ni tofauti, wallet kwanza upendo baadae
Ndo hivyo upendo kwanza.Unafikiri mwenye pesa atakaa na mtu hampendi? Kama anakupitia tu anaendelea na safari
Kwakweliiii wamelisahau hilo.Mama yako angekuwa na mawazo kama yako usingezaliwa.
Dada yetu kipenzi ninakuelewa sana.If you choose to believe everything you read, utashangaa.
1.Your wallet may take a break but your heart and mind is set for an endless roller coaster ride.
2. Great taste? Yeah and it doesnt just end with choice of cologne he applies, but with women too.
3.Your Mom will be delighted? Well, it depends. Don't count on it. Some mothers just want a decent man from a decent background.
4. All the pampering probably but at what cost. No man is going to spend all his money on a woman who doesn't bring anything to the table.
5. Future is secured? Jidanganyeni mtashaaaaaa. Try getting him stuck to you by getting pregnant.😀😀
Utakubal ku date na kapuku kama mimi mpenzi?Shida ya wanaume matajiri huwa wanahisi hela zao kwako ni kila kitu. Kama ukiwa mwanamke njaa njaa wanakuendesha. Na bora niendeshwe na mwanaume ninaempenda ila sio anaenipa hela.
Sio wamesahau, kizazi hiki si kile cha mama zenu. Sasa hivi ni majanga!Kwakweliiii wamelisahau hilo.
Ni ukweli usiopingika siku hizi pesa ni jambo la kwanza kwa wanawake wakitaka kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume.Inategemea.
Kama nakupenda kwanini nisikudate. Hela inatafutwa tuu.Utakubal ku date na kapuku kama mimi mpenzi?
Naomba direction nitie team. Mwaka huu lazima nitie chombo ndaniMje muoe huku kwetu Kwamtogole hatuna makuu
Big punishmementIn the end you will be situated six feet below the ground with nearly seven tons of soil squeezing shit out of you!
Inawezekana wengi wakawa hivyo,ila ukweli wwapo/ tupo tunaojali mapenzi kwanza.Sio wamesahau, kizazi hiki si kile cha mama zenu. Sasa hivi ni majanga!
Mkuu leo nashindwa kushangaa ninachokisoma kwa hawa akina dadaNi ukweli usiopingika siku hizi pesa ni jambo la kwanza kwa wanawake wakitaka kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume.
Wanaopenda kwa dhati bila kigezo cha pesa ni wachache sana
Tuzoee tuMkuu leo nashindwa kushangaa ninachokisoma kwa hawa akina dada
Wapo wachache sana kiasi kwamba tunasema hamna!Inawezekana wengi wakawa hivyo,ila ukweli wwapo/ tupo tunaojali mapenzi kwanza.