41% ya Wanawake hawazungumzi na Wamama wakwe zao

41% ya Wanawake hawazungumzi na Wamama wakwe zao

View attachment 72251
Jee unafahamu kuwa asilimia 41 ya wanawake hawazungumzi na mama wakwe zao. Mothers- in-law,

Asilima 41 hawana mahusiano mazuri na mama za wabwana zao. Hawazungumzi nao.
Utafiti unaonyesha kati ya wanawake 10, mmoja wao ana ugomvi na mama mkwe wake.- mother-in-law.
Utafiti uliofanywa na shirika la OnePoll la Uingereza unaonyesha kuwa ugomvi mkubwa kati ya mama mkwe na wake za vijana wao ni kutokana na usemi maarufu " sisi zama zetu tulikuwa tunafanya hivi au vile " .
Wanawake hawataki kuambiwa zama zile au kukosolewa mara kwa mara.
Utafiti huo pia unaonyesha kuwa nusu ya wanawake, washawalalamikia mabwana zao kuhusu kina mama zao, wazazi wa bwana wa kike.
Asilimia 15 ya wanawake wamewahi kukosana , ndoa kuvunjika kutokana na ugomvi kati ya mkwe na mama mkwe.
Ugomvi mkubwa zaidi kati ya mke na mama mkwe kuhusu malezi ya watoto, wajukuu.
Source: BBC

Issue ya mama mkwe ni how ulivyohandle or set up standard ya uhusiano wako na wao .from the beginning ukianza kujipendekeza eti your nice mama mkwe ata kuganda.from the beginning set up attitude " no nonsense ".mimi wakwe zangu wanajua I can handle my life na wakae mbali ,.wakwe zangu tunaheshimiana sijipendekezi Kwao kwa sababu sio wazazi wangu .Na wazungu wakwe wako very judgemental na minajijua I'm African girl I have values na morals .Mimi ni very conservative .wanangu na wachapa wakikosa maana Huku ukichapa mtoto jela unaweza kuiona .wakwe they miss and moan the loss of a son pia watoto wa kiume wako close kwa mama zao
 
Boflo,

Kuna hii story (JOKE) nilishasikia kuhusu Mama wakwe.

hunting-trophies-1.jpg


Jamaa alimtembelea rafiki yake ambaye alikuwa na Mzinga wa Jumba. Kufika ndani akakuta jamaa kaweka collection ya vichwa vya Wanyama kama yule Prince Mjinga wa Czech ambaye alipouliwa na Wa-Serb huko Sarajevo, akazusha vita ya kwanza ya dunia. Huyu jamaa Archduke Franz Ferdindand kwenye hekalu lake la Konopiste, nje ya mji wa Praha, kuna vichwa kibao vya wanyama na ndege na inasemekana aliuwa zaidi ya laki tatu.

Turudi kwa jamaa na rafiki yake: Walizunguka mle ndani na rafiki akishangaa ustadi wa jamaa katika kuwinda/ukatili wake na mwisho akafika kwenye chumba ambapo alikuwa amesimamishwa mwanamke ukutani, amekaushwa.

Rafiki: Na huyu naye ni nani?

Jamaa: Mama Mkwe.

Rafiki: Na yeye ulimuuwa?

Jamaa: Ndiyo nilimuuwa.

Rafiki: Sasa mbona anacheka?

Jamaa: Alifikiri NINATANIA.


Hizi gomvi za Mama Mkwe kwa kweli zinatisha sana duniani. Maishani nimeshaona nyingi sana. FirstLady1, Kaunga na nyie vipi huko dada zangu? Mjifunze tu kuishi nao 🙂 Mwataka niwanunue hapo Rwanda AK47? NATANIA.....
 
Back
Top Bottom