shostito
snowhite umenena vyema sana ila naomba nikuambie kitu, mwanzoni i used to think as you have said, lakin baada ya kuhudhuria semina nyingi za mambo ya ndoa niligundua jambo moja na hapa naomba niongelee experience niliyoipata kwa Gloria MHando mtaalamu wa mambo ya ndoa.
ishu kubwa zaid kwenye ugomvi kati ya mama na mkamwana ni WIVU TU.
SASA wivu huu unakujaje?............... mama anaona KLEIN ni mwanangu mpendwa, nimemlea uzuri sitaki apate shida na daima atabaki kuwa mwanangu, kuna muda mimi kama mama nataka kupendwa na klein mie, kuheshimiwa, kusikilizwa, kuthaminiwa na hata kusaidiwa. na hapa kleni lazima anitendee haya. when it comes to my me time with my beloved son i should get it. this is nature we can not deny it.
on the other hand mke wa KLEIN anaona mie ni mke, namlea huyu bwana kwa sasa, nahitaj kupendwa, kuthaminiwa, kusikilizwa kusaidiwa na hata kubembelezwa. na hapa ni lazima klein anitendee haya. when it comes her 'me' time with her beloved hubby, she should get it na ndio nature ilivyo.
kwakujua hayo ndipo conflict of interest inapoanza, kwan mama anaona mwanangu sikua namfanyia haya, nilimdekeza, sikumsimanga blah blah blah,........... mke nae anaona huyu ni hubby anapaswa anisikilize mm anielewe anipe kipaumbele kwani anamlala nani blah blah blah...........
mwanaume mwenye busara atasema na mkewe kwamba she is our mom, huwez kuvuka mpaka na kusema haya juu yake so keep quite and listen to me na anasisitiza kwa mkewe kwamba wewe ni wa muhimu sana kwangu kuliko mtu yeyote yule katika maisha haya niliyo nayo. na akirudi kwa mama anamwambia mama yule ni mke wangu nampenda as wife you are my mother i love and respect you, but you can not do this to my wife. she is very innocent to me and i real need her at this time when she said so she was just defending herself. ujue kwamba mama nakupenda sana na kukuheshimu so just give me a room to do what is right for me.
akisimamia msimamo wake huu inaweza kuwafanya wawili hawa wakaheshimiana zaid manake kila mtu atajua sasa nafasi yake kwa muhusika manake ukweli watoto wa kiume ni wapendwa kwa mama zao kama ilivyo wa kike ni wapendwa kwa baba zao.
ukichunguza kwa makini hata kwa wababa wana wivu sana na watoto wao wa kike kiasi kwamba hata akioalewa mtoto bado baba anaona mume hana haki ya kumnyanyasa mwanangu na nimewah kushuhudia hata wababa wengine wanakataza mabinti zao wasirudi kwa waume zao ambao waliwanyanyasa. ni kwamba tu wanaume ahawana bifu za maneno kama wamama.
mjadala uendelee.