40% ya wateja wa Shirika la Ndege ( ATCL) ni wakazi wa Jiji la Mwanza

Umbali wa mwanza dar ndio sababu ukanda unaingiaje hapa .watu wanatumia ndege kupunguzaa uchovu na kuokoa muda sasa una pesa kwaniini upande basi vitu vingine in vya kufikiri na uteuzi wa watu wa kanda hiyo ni mwingi wengi huwa wanaelekea kwao hii no lazima ifike 40%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui usemalo pole sana.
ukipongeza mwanza, pongeza kahama, geita na musoma (ambako kuna migodi na watu wenye pesa). watu wakazi wa mwanza pale ni wachache sana wanasafiri kwa ndege, hao unaowaona wanasafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa mwanza ni wafanyakazi migodini kahama geita na mara, pamoja na kwamba wapo wafanyabiashara wachache. ukweli ndio huo hivyo pongeza migodi na acha ukanda na ukabila. pusi we.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa watu wa kuburumiwa tu. Buashara ya mabasi ni ya kimaskini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio maskini wa mwisho, kampuni ina miaka 10 unasema biashara ya kimaskini? Unajua bei ya basi moja la Marcopolo wew mnywa ulanzi?
Kiufupi sekta ya usafiri tumeishika na tunalipa Kodi kubwa tunawezesha nchi kupata mapato wewe biashara unayoweza Ni kuuza ulanzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile za Precision unaziita ndege?!

Zile za kuendea mbugani zilizoshindwa kubeba msiba wa Mengi kwa mara moja ikabidi zitoke zote na waombolezaji hawakuwa zaidi ya 100?

Bora hata ile ndege ya Masha kuliko huto twa Shirima bwashee!
Unahitaji kupimwa akili kabisa, precision air sio ndege? Kampuni ina ndege karibu kumi zinaenda hadi comoros na sycheles unasema sio ndege?
Masha Ana ndege gani? Kale kamoja ka fastjet? Hahaha kanapiga route gani? Hahaha wacha niendelee kunywa hainken yangu hapa machame lyamungo maana unachekesha

Bwashee ATCL wanahangaika na hiyo ndege moja ya Lau Masha wala hawana habari na hicho kikampuni chenye miruko ya kubeba barua na parcel kama mabasi ya Champion ya Dodoma.

Hahahaa......zile ni videge vya mbugani au kunyunyizia dawa mashambani sema meku Shirima alijiongeza tu na kuanza kubeba wachagga!
 
Hahaha ndege za kunyunyuzia dawa zibebe abiria hadi comoros? Précision air inatua bukoba,mwanza,kia,Arusha,na Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ndege za kunyunyuzia dawa zibebe abiria hadi comoros? Précision air inatua bukoba,mwanza,kia,Arusha,na Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa........ Sasa hivyo vi fokker vya abiria 26 kama Coaster ndio unaita ndege bwashee?!

Hizo zingekuwa ni ndege ungeona ATCL wanavyozitolea mimacho kama Fastjet ya Lau Masha abiria zaidi ya 100!
 
Back
Top Bottom