Sawa..... Lakini hiyo statement yako ya mwanza airport inaiminya songwe airport kisa taa za usiku haina mantiki....Abiria wenye mahitaji ya usafir watasafir mchana tu...Abiria wengine convience yao ni usiku. Uwanja hauna taa. Ukiwa na taa abiria wataongezeka bila shaka
Amka Kamanda. Watu wa biashara wanafanya mambo yao mchana. Usiku wanasafiri. Ndiyo advantage ya Mwanza. Bei ya mchana ni ndogo kuliko usiku. Fuatilia hilo.Sawa..... Lakini hiyo statement yako ya mwanza airport inaiminya songwe airport kisa taa za usiku haina mantiki....Abiria wenye mahitaji ya usafir watasafir mchana tu...
Mkuu wakiweka taa airport ya songwe....hivi songwe itaiovercome Mwanza airport kweli...? Mi nadhani ni mambo ya kiuchumi na ubize wa mji....to be honest hata tukiweka factors nyingine kando, Mwanza-Dar route ndo yafaa iwe na watu wengi zaidi...Amka Kamanda. Watu wa biashara wanafanya mambo yao mchana. Usiku wanasafiri. Ndiyo advantage ya Mwanza. Bei ya mchana ni ndogo kuliko usiku. Fuatilia hilo.
Sidhani na sijasema Songwe itaipita Mwanza. Nipo realistic najua ukweli huo.Mkuu wakiweka taa airport ya songwe....hivi songwe itaiovercome Mwanza airport kweli...? Mi nadhani ni mambo ya kiuchumi na ubize wa mji....to be honest hata tukiweka factors nyingine kando, Mwanza-Dar route ndo yafaa iwe na watu wengi zaidi...
I've got your point... ShukraniSidhani na sijasema Songwe itaipita Mwanza. Nipo realistic najua ukweli huo.
Lakini uwanja wa Songwe ukiwa na taa, idadi ya abiria itaongezeka sana japo isifikie ya Mwanza. Baada ya Dar, Mwanza inafuatia.
Sasa unawabishia atcl?
Kilimanjaro wanaipenda Precision Air ya Shirima!
Abiria wa Dsm wa Atcl wengi huenda Mwanza.
Mimi najadili kichwa cha thread alichoandika mwanzisha mada ndugu yangu. i.e.Hakusema hiyo ingia youtube usikilize mwenyewe!
Matindi akuonee wivu mrangi?!We mkabila sana inaelekea wachaga wanakuumiza sana kichwa na yote ni kwa sababu ya wivu wa maendeleo yao, wakati wewe hapo umeshindwa kufanya lolote unabakia kulialia tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhimu ni hiyo takwimu ie 40%Mimi najadili kichwa cha thread alichoandika mwanzisha mada ndugu yangu. i.e.
''40% ya wateja wa Shirika la Ndege ( ATCL) ni wakazi wa Jiji la Mwanza''
Kama amekoleza chumvi au kuposha kilichosemwa basi ni vizuri imejulikana.
Huyo rais mwenyewe anapenda kusifiwa na kupewa taarifa za kusifia sifia yale anayoyapenda.Haiwezekani ndugu takwimu hizo kuwa kweli. Hii ilisemwa tu kumfurahisha mkuu. Huwezi kusema 40% ya abiria ni Mwanza je unataka kusema Dar ina abiria wachache kuliko mwanza? Dar peke yake ni zaidi ya 60%. Kilimanjaro haipungi 20%, Dodoma, Mbeya, Zanzibar, Bukoba, etc zipo wapi?
tuwe makini na wanaofanya kila kitu kumfurahisha rais.
Afadhali umeliona hilo.Huyo rais mwenyewe anapenda kusifiwa na kupewa taarifa za kusifia sifia yale anayoyapenda.
Sasa wahuni nao wanajiongeza hapo hapo
So what? Mbona wateja wengi wa Air Lufthansa ni wakazi wa Nordrhein West Fallia ambao Airport yao kubwa ni Düsseldorf. Is it an issue?Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Haya....wasalimie wafaransa!So what? Mbona wateja wengi wa Air Lufthansa ni wakazi wa Nordrhein West Fallia ambao Airport yao kubwa ni Düsseldorf. Is it an issue?
Elewa kuwa Mwanza na vitongoji vyake vina more than 20% ya population ya nchi. Na hivyo ndivyo ilivyo kwa Nordrhein West Fallia. Unategemea nini sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ticket huwa zinaandikwa Geita, Shinyanga au Simiyu?Umeongea kusiasa, hujaongea kitaaalam Kwa hiyo unataka umaaanishe kuwa huwa inawabeba watu Wa Mwanza tu? Acheni siasa bhana, sasa ikishawabeba wa Mwanza Halafu inawapeleka Mwanza tena? Labda ungeongeza na huo Mkoa wanakoshushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii iko hata kwenye usafiri Wa mabasi na train. Route ya Dar-Mwanza-Dar ina Magari mengiMkuu wakiweka taa airport ya songwe....hivi songwe itaiovercome Mwanza airport kweli...? Mi nadhani ni mambo ya kiuchumi na ubize wa mji....to be honest hata tukiweka factors nyingine kando, Mwanza-Dar route ndo yafaa iwe na watu wengi zaidi...
Bukoba si wana airport inayopiga kazi hata usiku....