Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Ndege zinatua vizuri tu...usiku na mchana......Mwz-Bk....Dar-Bk....abiria wapo wa kutosha tu...Wanao abiria wa kutosha ? Runway yake ina urefu wa kutosha?
Ndege zinatua vizuri tu...usiku na mchana......Mwz-Bk....Dar-Bk....abiria wapo wa kutosha tu...Wanao abiria wa kutosha ? Runway yake ina urefu wa kutosha?
NaamHaiwezekani ndugu takwimu hizo kuwa kweli. Hii ilisemwa tu kumfurahisha mkuu. Huwezi kusema 40% ya abiria ni Mwanza je unataka kusema Dar ina abiria wachache kuliko mwanza? Dar peke yake ni zaidi ya 60%. Kilimanjaro haipungi 20%, Dodoma, Mbeya, Zanzibar, Bukoba, etc zipo wapi?
tuwe makini na wanaofanya kila kitu kumfurahisha rais.
Sasa ulitaka tusiipende ya shirima? Na nyie pendeni fisiSasa unawabishia atcl?
Kilimanjaro wanaipenda Precision Air ya Shirima!
Abiria wa Dsm wa Atcl wengi huenda Mwanza.
Endeleeni na danadana zenu mimi nsahukuru MKULIMA KALIPWA HELA maana dawa ya deni kulipa sio KUDHULUMU.Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna Kanda Fulani haifurahishwi na hii taarifa. Siku zote wanaamini wao ndo wanasafiri zaidi kuliko Kanda zingine.Na hii iko hata kwenye usafiri Wa mabasi na train. Route ya Dar-Mwanza-Dar ina Magari mengi
Hahaaaaaa...na ndiyo wanopiga kelele. Mazuri yote wanataka yawe kwao au yatoke kwaoKuna Kanda Fulani haifurahishwi na hii taarifa. Siku zote wanaamini wao ndo wanasafiri zaidi kuliko Kanda zingine.
cc Ibambasi 40% ya kampuni za mabasi zinamilikiwa na watu wa kaskazini (include mabasi yaendayo mwanza)Kuna Kanda Fulani haifurahishwi na hii taarifa. Siku zote wanaamini wao ndo wanasafiri zaidi kuliko Kanda zingine.
ukipongeza mwanza, pongeza kahama, geita na musoma (ambako kuna migodi na watu wenye pesa). watu wakazi wa mwanza pale ni wachache sana wanasafiri kwa ndege, hao unaowaona wanasafiri kwa ndege kwa kutumia uwanja wa mwanza ni wafanyakazi migodini kahama geita na mara, pamoja na kwamba wapo wafanyabiashara wachache. ukweli ndio huo hivyo pongeza migodi na acha ukanda na ukabila. pusi we.Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Umeshawahi kuona tajiri anamiliki bus?cc Ibambasi 40% ya kampuni za mabasi zinamilikiwa na watu wa kaskazini (include mabasi yaendayo mwanza)
Mfano
Ibra line
Machame safari
Lim safari
BM COACH
Kidia one
Princes muro
happy nation
hai express
Mghamba
Kapricon
Kilimanjaro exp
Marangu coach
Tilisho exp
Ester exp
Kandahar
Arusha exp
Hii Ni mifano tu
TANZANIA nzima Hakuna mkoa utakosa basi lá mtu wa kaskazini upo? Kajipange upya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachekesha mkuu,unajua bei ya basi?Umeshawahi kuona tajiri anamiliki bus?
Mabasi ni biashara ya kusaidia mkoni uende kinywani fullstop!
Haiwezekani ndugu takwimu hizo kuwa kweli. Hii ilisemwa tu kumfurahisha mkuu. Huwezi kusema 40% ya abiria ni Mwanza je unataka kusema Dar ina abiria wachache kuliko mwanza? Dar peke yake ni zaidi ya 60%. Kilimanjaro haipungi 20%, Dodoma, Mbeya, Zanzibar, Bukoba, etc zipo wapi?
tuwe makini na wanaofanya kila kitu kumfurahisha rais.
Haya mabasi ya kichina yanauzwa pale mikocheni karibu na IPP moja sh milioni 300!Unachekesha mkuu,unajua bei ya basi?
Hahaha kwahyo wenye mabasi Ni maskini wenzio?
Anyway mmiliki wa précision air unamfahamu? Ni ndugu shirima,ni mtanzania gani anaemiliki kampuni ya ndege zaidi yake? Ukweli utabaki ukweli kaskazn Ina vichwa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamisheni mji mkuu kutoka Dodoma kwenda Mwanza kabisa tujue moja.Hii taarifa inaonyesha jinsi jiji la Mwanza lilivyo na mchango mkubwa sana katika uchumi wa taifa.
Ni wakati sasa wa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa zaidi katika jiji la Mwanza kwa faida kubwa ya taifa letu.
Ni hayo machache.
Maendeleo hayana vyama!
Asipoelewa na hapa nitajua huyu jamaa ni mpare!Naomba nikurekebishe mkuu, hii takwimu nahisi iko sahihi kwa 95%.
Ansposema abiria wa Mwanza maana yake wanaotua kutoka Dar.
Ni ukweli usiopingikwa kuwa abiria kutoka Dar to Mwanza ni wengi ikifuatiwa na abiria Dar to Klm.
Kwa nyakati hii mambo yako wazi sana, unaweza kutumia app ya radar24 uone route za Mwanza zilivyo ulinganishe na mikoa mingine.
Dar haihesabiki kwani safari zote huanzia Dar to mikoani au mikoani tu Dar...hili ndilo jiji mama lao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kampuni Ina basi moja? Mfano kampuni ya mangi wa BM coach Ina mabasi zaidi ya 50 Ni bilions ngapi hapo?Haya mabasi ya kichina yanauzwa pale mikocheni karibu na IPP moja sh milioni 300!
Basi moja inazidiwa bei na gari ya mbunge wa Kigoma kusini mh Husna anayotumia kuendea saluni.
Sasa bwashee wewe hata kwa kukopa huwezi kupata hiyo 300m ukanunua Yutong?!
Hilo linawezekana kwa kuwa ama maji ya lake victoria yawafate Wagogo au Wagogo wayafate maji ya lake victoria......wanasayansi na wachumi watashauri!Hamisheni mji mkuu kutoka Dodoma kwenda Mwanza kabisa tujue moja.
Lekagi mamihayo sagala babehi.
Ite chiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile za Precision unaziita ndege?!Kwani kampuni Ina basi moja? Mfano kampuni ya mangi wa BM coach Ina mabasi zaidi ya 50 Ni bilions ngapi hapo?
Vipi ndege za precision ni ma bilion mangapi? Hahaha ukitaka kupambana na kina bwashee ujipange vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta kwenu hakuna hata ka-vitz!Kwani kampuni Ina basi moja? Mfano kampuni ya mangi wa BM coach Ina mabasi zaidi ya 50 Ni bilions ngapi hapo?
Vipi ndege za precision ni ma bilion mangapi? Hahaha ukitaka kupambana na kina bwashee ujipange vizur
Sent using Jamii Forums mobile app