Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,502
- 19,306
watu tunataka kujua, hicho kinachotakiwa kugawanywa ni kitu gani kilichokuwa kimeshikilia muungano miaka yote hiyo hakifanywi? kikifanywa kwa uwazi kitadumu, kisipofanywa kwa uwazi ni bomu litakalolipuka siku moja litusumbue tena.Kwani Pwani inapata mgao kiasi gani? bila kusahau Chato
Hajaja kutuchanganya, anaonyesha matumaini makubwa sana. hoja hapa ni wasije kuja watu wakutake advantage upole wake, wakaingiza vitu vya ajabu kwenye muungano. kama kuna hoja ya msingi binafsi mimi sina shida, ila napenda mwenye kuelewa zaidi atuambie, ni mapato yepi?Halafu huyu mama naona amekuja kutuchanganya
unfortunately, amini usiamini, mafuta zenji hakuna. na kama yapo, yapo kidogo sana, na kama yakiwepo zenji basi na bara yapo. hata gesi tu hawajagundua. binafsi, ninaamini kama tunataka muungano, tuungane kabisa kabisa tuwe nchi moja, hata hoja ya kuwa na marais wawili kwenye nchi moja hii huwa naona ni ukakasi.Wazanzibari walishaturahisishia Watanganyika baada ya kugunduliwa kuwa wanayo hazina kubwa ya mafuta baharini. Hapo ndipo na wapenda Wazanzibari kwa kusimamia maslahi yao kwa ukweli. Walisema, utafiti wa mafuta na mafuta yenyewe haya husu Muungano wetu" Watanganyika wao ni copy and paste ya huu msimamo wa ndugu zetu.
Itakuwaje pato la dhahabu au Tanzanite liwe la muungano? Mh Mpango usituangushe katika hili.
Sio suala la upole hapa inatakiwa itumike akili kuamua mambo sio mahaba kwa sababu unatokea huko, hao watu wata take advantage kwasababu yeye mwenyewe ameamua kuacha watu wamsaidie kufikiri, serikali yake tayari imeshaamua baadhi ya mambo lakini utekelezaji wake bado umekuwa mgumu, mfano suala la vifurushi vya simu, kwa anaejielewa ataona huyu Rais bado haja-fit hiyo position ipasavyo, na wala msimtetee hakupata nafasi ya kujiandaa.Hajaja kutuchanganya, anaonyesha matumaini makubwa sana. hoja hapa ni wasije kuja watu wakutake advantage upole wake, wakaingiza vitu vya ajabu kwenye muungano. kama kuna hoja ya msingi binafsi mimi sina shida, ila napenda mwenye kuelewa zaidi atuambie, ni mapato yepi? yanainclude na mapato ya migodi ya bunzwagi geita na bulli? na ya TRA ya bara? au ni pesa za misaada pekee? na je, zanzibar wana TRA yao au hawana? wanaendesha nchi kwa pesa ipi? si wanajitegemea? au? sasa sisi tuwachangie kwa ajili gani?
Tunapata EEZ, bila Zanzibar kuwa kwenye muungano sijui mipaka ya bahari ingekuwaje?
kama ni hii, sasa kwanini tulikuwa hatuwapatii? mbona kitu rahisi sana kinatufanya tunagombana?Ninavyoelewa ni 4% ya misaada na mikopo kutoka nje in atakuwa kwenda SMZ.
Hii kitu hata wakati wa kampeni Lissu aliiongelea, ninaona mama anafanyia kazi hoja nyingi Lissu alizotoa wakati wa kampeni.kama ni hii, sasa kwanini tulikuwa hatuwapatii? mbona kitu rahisi sana kinatufanya tunagombana?
Kwa namna ulivyouelezea muungano vyema kabisa, ni wazi kabisa mfumo huu uliopo unainufaisha chama tawala zaidi ya nchi na raia wake.unfortunately, amini usiamini, mafuta zenji hakuna. na kama yapo, yapo kidogo sana, na kama yakiwepo zenji basi na bara yapo. hata gesi tu hawajagundua. binafsi, ninaamini kama tunataka muungano...
Binafsi sina shida kama hiyo 4% itahusisha mapato na madeni. Kama ni mapato tu, hapo kuna tatizo.Hajaja kutuchanganya, anaonyesha matumaini makubwa sana. hoja hapa ni wasije kuja watu wakutake advantage upole wake, wakaingiza vitu vya ajabu kwenye muungano. kama kuna hoja ya msingi binafsi mimi sina shida, ila napenda mwenye kuelewa zaidi atuambie, ni mapato yepi? yanainclude na mapato ya migodi ya bunzwagi geita na bulli? na ya TRA ya bara? au ni pesa za misaada pekee? na je, zanzibar wana TRA yao au hawana? wanaendesha nchi kwa pesa ipi? si wanajitegemea? au? sasa sisi tuwachangie kwa ajili gani?