The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,083
mi ndo na award degreee shauri yako.....
Consultation itafanyika before ili tuje kukuona chancellor kwa ajili ya kunitunuku
mi ndo na award degreee shauri yako.....
sikumbuki tena hii thread ya sisy FL1 inaongelea nini.
i wish angekuwepo aiendeleze.
Angalizo kidogo: NJe ya mada....
Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa
#$%^&*(+_)(*&^&*()_)()_))((****** Umeanza sasa, ntakuhamisha meza ohooooooLakini sometimes miwani zinasaidia:blah:
mi ndo na award degreee shauri yako.....
queenkami hebu angalia heading vizuri au bado valuer hazijakutoka kichwani inabidi ukimbie ukapate supu kwanza
sijapata valuer labda njaa inanitia kizunguzungu,acha nikamuone bro asprin anaweza kunipiga ofa ya supu.
:decision:reggers:reggershoooo
Angalizo kidogo: NJe ya mada....
Nimegundua suala la infi limeathiri vijana sana kiasi kwamba popote pale pakiwa na kundi la watu, hisia zao zinahama, hili itabidi tulishughulikie na nina mpango wa kumtafuta kansela awasaidie vijana, naona teamo amefikia stage four sasa na tusipomwahi tutampoteza kabisa
sijapata valuer labda njaa inanitia kizunguzungu,acha nikamuone bro asprin anaweza kunipiga ofa ya supu.
sikumbuki tena hii thread ya sisy FL1 inaongelea nini.
i wish angekuwepo aiendeleze.
hangover imeisha ndo nagundua jinsi hii thread ilivyochakachuliwa
balaaah wallahi!!!
hahahaaaa... huu uchokozi itabidi niufanyie kazi!!! terms and conditions apply....Queen unaniruhusu niisome hii posti yako kwa mawani yangu, au niiangalie hivyo hivyo na macho yangu yakiwa uchi?:llama::llama:
haya mkuu nakuachia logistics, i though haya mambo ya infii yanakua zaidi nje ya kamba, kumbe ni humuhumu ndani ya kambaKaka mambo ya uchakachuaji yana thread yake...hebu ka do the needful...
Hapa tuache tuendelee na logistics za infii!
Mchanganyiko wa valuer na infii....hebu reboot system yako...:biggrin1:
hangover imeisha ndo nagundua jinsi hii thread ilivyochakachuliwa
balaaah wallahi!!!
Ewaaa, yanaanza taratibu, hebu angalia hapa chini!! Halafu usimwambie n'tu!haya mkuu nakuachia logistics, i though haya mambo ya infii yanakua zaidi nje ya kamba, kumbe ni humuhumu ndani ya kamba
balaa
sijapata valuer labda njaa inanitia kizunguzungu,acha nikamuone bro asprin anaweza kunipiga ofa ya supu.
Mi mbona bado naiona ni ile ya FL1 orijino???
Au kuna kitu sioni hapa....:doh: